Aviator ni utapeli, wacheza kamari shitukeni

Hata uhai unabahatisha kama unabisha sema lini utakufa
Uhai huwezi fananisha na betting kwasababu hakuna anayepoteza maisha ili wewe uishi, Tofauti na kamari ili upate lazima kuna anayepoteza pia maisha hayana mhindi ambaye ananufaika nayo pale ninapoyapoteza, Tofauti na Kamari ukiliwa mhindi ananufaika.

Kamari si biashara, kamari si uhai, Kamari ni mchezo wa kubahatisha wenye kula kidogo uliwe sanaaaa. Ni mchezo wa kunyang'anyana fedha, ni mchezo wa win-lose. Mmoja acheke huku mwingine akilia. Ni mchezo usioruhusu win-win kama ilivyo biashara nipe pesa nikupe papai.
 
images (2).jpeg
 
Hata uhai unabahatisha kama unabisha sema lini utakufa
What do you mean uhai unabahatisha ? Ukinywa sumu hapo dosage kubwa utakufa kulingana na dakika ambazo zinatakiwa hio sumu kufanya kazi..., ukiishi maisha ya hatari au kwenda vitani probability yako kufa ni kubwa ukiwa mzee miaka kama mia probability ni kubwa kwamba miaka michache au siku chache zijazo utakufa na ni uhakika 100 percent kwamba hautafikisha miaka mingine 100....

Everything has probable outcomes sasa wewe kwenda against the probability na kudhani you will do this in long term ndio kubahatisha kwenyewe huko... no matter what you are doing....
 
Kwahiyo wewe unauhakika huu mwaka unamaliza ukiwa hai acha habari zako wewe humu tuna akili timamu unaandika gazeti kubwa utumbo tu
 
Nina uhakika kwamba nikinywa sumu takufa kuna sumu tofauti tofauti nyingine ni 100 percent; Nina uhakika nikidumbukia kwenye concentrated acid siwezi kupona.... Hivi unajua hata Probability ni Nini ? Huenda kutokujua kwako ndio kunakufanya kudhani betting ni sustainable
 
Nina uhakika nikiibetia yanga jumamos inashinda unasemaje
 
Back
Top Bottom