Avunja ndoa ya miaka 20 kwa tabia ya mkewe kupakulia majirani chakula

Kwa hiyo alimuoa mke wake akiwa na miaka 14

Ova
 
Ninachowapendea wazambia wanaheshimu sana sheria. Hiyo mahakama ya Matero huwa ina kesi nyingi sana za wanandoa. Wazambia huwa hawachukui sheria mkononi kiholela hasa kama inahusu ndoa. Ujinga wao ni kutokuwa na sheria kali ya miaka 30 jela ukimpa mwanafunzi mimba.
 
Haha noma mkuu
 
miaka 30 jela ya kutia mimba mtu mzima mwenzako ni uonevu.
 
Mtu mchoyo hafai
 
[emoji3581]
 
ivi hamna option nyingine zaidi ya kuachana?
Kuna watu wana misimamo hasa wanawake utampeleka kwao watamkanya kanisani serikali za mitaa dawati la jinsia lakini abadiliki utafanyaje?kuingiza akili zako kichwani mwake aiwezekani kuliko kuishia jera bora umpe nafasi
 
Huo unaongea kweli kabisa Nina mzigo sijui nitautua lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…