Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizi manifestation nyingine zitakuja kuuwa watu isee...sasa uchi kwenye mvua tena!Mfanyakazi mwenzangu amevunjika mguu alipokuwa akicheza uchi kwenye mvua.
Kisa hiki cha ajabu kimetokea nyumbani kwake Kimara B, usiku wa kuamkia leo mvua ilipokuwa ikinyesha.
Jamaa huwa anapenda sana kucheza cheza kwenye mvua, alimtoroka mke wake kitandani, kisha akatoka nje na kuanza kukimbia huku na huko huku akiwa uchi wa mnyama.
Ikatokea bahati mbaya akateleza na kuanguka anguko lililopelekea mguu kuvunjika.
Jamaa akajiburuza hadi kwenye tiles ndipo akaanza kumuita mke wake. Mke wake alipofika akakuta mume wake yuko uchi na amevunjika mguu.
Mke akaingia ndani, akachukua tracksuit na kumvalisha ndipo wakanipigia simu kuomba msaada wa gari, sababu mimi ninaendesha Alphard la ofisini.
Nilipofika nikaona mguu umevunjika vibaya nikashauri tuite ambulance ili tusije sababisha madhara zaidi.
Ambulance ikaja, tukampeleka jamaa Muhimbili kitengo cha mifupa Moi ambako amelazwa huko akisubiri upasuaji kwani amevunjika vipande vitatu.
Utakuwaje na urafiki na muwangaji?Kwa hiyo uwanga wangu ni upi?
Ahah story inachekesha sana. Nitaenda muona hapoMfanyakazi mwenzangu amevunjika mguu alipokuwa akicheza uchi kwenye mvua.
Kisa hiki cha ajabu kimetokea nyumbani kwake Kimara B, usiku wa kuamkia leo mvua ilipokuwa ikinyesha.
Jamaa huwa anapenda sana kucheza cheza kwenye mvua, alimtoroka mke wake kitandani, kisha akatoka nje na kuanza kukimbia huku na huko huku akiwa uchi wa mnyama.
Ikatokea bahati mbaya akateleza na kuanguka anguko lililopelekea mguu kuvunjika.
Jamaa akajiburuza hadi kwenye tiles ndipo akaanza kumuita mke wake. Mke wake alipofika akakuta mume wake yuko uchi na amevunjika mguu.
Mke akaingia ndani, akachukua tracksuit na kumvalisha ndipo wakanipigia simu kuomba msaada wa gari, sababu mimi ninaendesha Alphard la ofisini.
Nilipofika nikaona mguu umevunjika vibaya nikashauri tuite ambulance ili tusije sababisha madhara zaidi.
Ambulance ikaja, tukampeleka jamaa Muhimbili kitengo cha mifupa Moi ambako amelazwa huko akisubiri upasuaji kwani amevunjika vipande vitatu.
Jamaa anasema tukio hili lina mkono wa mtu, kwani ana shamba Vikindu, jirani yake alimega kipande cha shamba hilo. Wamehangaishana kwenye baraza la ardhi la kata, jamaa yangu akashinda. Yule jirani yake akamwambia lazima amfanye kitu mbaya
Bila picha huu Uzi ni batiliMfanyakazi mwenzangu amevunjika mguu alipokuwa akicheza uchi kwenye mvua.

Kweli uchizi upo wa Aina nyingi.Mfanyakazi mwenzangu amevunjika mguu alipokuwa akicheza uchi kwenye mvua.

Mke unamuacha na Nani ukitoka nje ?Jamaa yako na mimi hatuchekani, hata mimi nina tabia ya kutoka uchi kwenye mvua.
Naenda kujiandaa na mechi ya kumburudishaMke unamuacha na Nani ukitoka nje ?
Hiyo Raha ya kumkumbatia mke wakati wa mvua unaiacha unakwenda kufanya upumbavu?