Avunjika mguu akicheza kwenye mvua uchi usiku.

Avunjika mguu akicheza kwenye mvua uchi usiku.

Kwenye vitafunwa umetuandalia maandazi au chapati?
 
Au yeye mwenyewe alikuwa anawachezea wenzie akageuziwa kibao unatokaje uchi nje, [emoji3][emoji3][emoji3] halafu mke akumbatiwe na nani? Siku nyingine mwambie atavunjika kalio na mdomo
 
Kumbe ni usiku jamani huo ni uchawi nilidhani mchana dah sikusoma vizuri
 
Siungesema tu gari ya ofisi mpaka useme Alphard[emoji2]
 
Ndio. Yeye anasema alipigwa mweleka na wachawi
Wacha tu wampige mweleka, si alijifanya wenzao kumbe ni chawa tu... Akome asijaribu fani kama Hana ujuzi😁😁
 
Paka shume mpaka nimepaliwa kwa ujinga wa mfanyakazi mwenzako.
 
Back
Top Bottom