Avunjika mguu akicheza kwenye mvua uchi usiku.

hizi manifestation nyingine zitakuja kuuwa watu isee...sasa uchi kwenye mvua tena!
 
Ajali zingine za kujitakia, alafu mtu anafikiria kuwa ni uchawi. Akome.
 
Ahah story inachekesha sana. Nitaenda muona hapo
 
Bila picha huu Uzi ni batili
 
Uliacha usingizi, ukaacha mke kitandani, ukatoka nje usiku kucheza kwenye mvua ukavunjika mguu. Halafu unasema hilo tukio lina mkono wa mtu. Jamaa yako alitiwa dole na huo mkono wa mtu akaamua kutoka nje uchi uchi au ni nini hasa unachojaribu kusema.?
 
..tena uchi wa mnyama? alikuwa anawanga huyo na avunjikage tu shuwain!
 
Alikwenda kutafuta nyege ili akiingia amka de mke vizuri haya sasa nyege zimemla mguu
 
Kweli uchizi upo wa Aina nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…