Pre GE2025 Awadhi Haji kubaki ofisini licha ya vitendo walivyofanyiwa CHADEMA ina maana gani? Kwanini hawajibishwi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Rais Samia angelikuwa amechukizwa na udhalimu alioufanya Awadhi, basi angelikuwa amemfukuza kazi kama alivyowafukuza akina Ummy, Kairuki na wengine wengi baada ya ku underperform to her expectation so to say, if I am right in that thinking!

Pia soma: Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa

Kwanini bado yuko ofisini mpaka sasa?

1723784187027.png
 
Rais Samia angelikuwa amechukizwa na udhalimu alioufanya Awadhi, basi angelikuwa amemfukuza kazi kama alivyowafukuza akina Ummy, Kairuki na wengine wengi baada ya ku underperform to her expectation so to say, if I am right in that thinking!

Kwanini bado yuko ofisini mpaka sasa?
We all know anything dark hata sheria ivunjwe vipi, kama limefanywa for ccm basi litapotezewa litasamehewa

Double standard nchi hii zimefika kiwango cha kutisha
 
Rais Samia angelikuwa amechukizwa na udhalimu alioufanya Awadhi, basi angelikuwa amemfukuza kazi kama alivyowafukuza akina Ummy, Kairuki na wengine wengi baada ya ku underperform to her expectation so to say, if I am right in that thinking!

Kwanini bado yuko ofisini mpaka sasa?
CDM hawakuwa threat hata kidogo ila walichokosea ni maneno yao ya hamasa.

Kiongozi wao wa BAVICHA anasema " Vijana wote wa Tanzania njooni Ruanda Nzovwe kudai haki zenu". Akaendelea kusema anataka wafanye kama Gen Z ya Kenya.

Hata mimi ningekuwa Camilius Wambura au Awadh ningefanya hivyo hivyo baada ya hayo maneno na hiyo ndiyo alimaanisha.

We have to give credit to our intelligence system otherwise tungekuwa tunalaumu vyombo vya dola sasa hivi kwa kuwa complacent
 
Contrary to that, Awadh alifanya kazi ya kutukuka katika nchi hii. Anastahili Promotion. Ni kwa vile akili zako zipo katika mihemko. Angecheza nchi hii ingekuwa katika hali mbaya ya machafuko kama Kenya au Bangladesh. Kazi kuu ya Polisi si kukamata bali kuzuia uharifu. Muulize Ruto ndipo utajua utawala ni nini. Kwa asiyeitakia TZ mema anachukizwa na kazi ya Awadh.
 
He is the regime's enforcer and an efficient one too..unadhani atatoka kirahisi kisa minongo'no ya mitandaoni,,actually usishangae akapandishwa na cheo kabisa. Serikali inajua kabisa inahitaji watu zaidi kama yy kuelekea 2025..dont expect much
 
CDM hawakuwa threat hata kidogo ila walichokosea ni maneno yao ya hamasa.

Kiongozi wao wa BAVICHA anasema " Vijana wote wa Tanzania njooni Ruanda Nzovwe kudai haki zenu". Akaendelea kusema anataka wafanye kama Gen Z ya Kenya.

Hata mimi ningekuwa Camilius Wambura au Awadh ningefanya hivyo hivyo baada ya hayo maneno na hiyo ndiyo alimaanisha.

We have to give credit to our intelligence system otherwise tungekuwa tunalaumu vyombo vya dola sasa hivi kwa kuwa complacent
Ccm haswa UVCCM wamewahi kutoa kauli tata, tena live? Police wali respond? nope
Kauli waliotoa chadema ni politics, we all knew hakuna kijana wa kufanya kama Gen Z
even if wange respond si kwa kuwa treat kama tukio la ujambazi, unatumiaje extreme force wakati watu wamesalimisha bila nguvu?
Sheria za ukamataji ziko wazi , when unatumia nguvu na kwa mazingira yapi

Police walivuka mstari na pia wapunguze. Double standards
 
Umebadilisha sentensi za Mwaipaya nukuu vizuri usitupoteze tuna akili timamu. Pia aliyetamka ni Mwaipaya Kwa nn asikamatwe yeye kama yeye. Kisha waangalie kinachofuata kwahiyo alilosema katibu Mwenezi wa CCM wanamkamata Samia, Nchimbi, Mwinyi na wanachama 500. Watu wa leo siyo wa mwaka 47.
 
Kwakua hakuna ndugu yako aliyechezea mkong'oto
 
Ccm haswa UVCCM wamewahi kutoa kauli tata, tena live? Police wali respond? nope
Kauli waliotoa chadema ni politics, we all knew hakuna kijana wa kufanya kama Gen Z
even if wange respond si kwa kuwa treat kama tukio la ujambazi, unatumiaje extreme force wakati watu wamesalimisha bila nguvu?
Sheria za ukamataji ziko wazi , when unatumia nguvu na kwa mazingira yapi

Police walivuka mstari na pia wapunguze. Double standards
If you resist a lawful order from Police expect brutal reaction. Kwa nini waliopigwa ni Lissu, Sugu na Mnyika? Na siyo wengine
 
Wapi wali resist? they never resisted , even rpc wa mbeya was there kabla ya awaddh, walikuwa tayari kujisalimisha peace fully, alivyifika awadh akaleta violence, was it necessary?
 
Umebadilisha sentensi za Mwaipaya nukuu vizuri usitupoteze tuna akili timamu. Pia aliyetamka ni Mwaipaya Kwa nn asikamatwe yeye kama yeye. Kisha waangalie kinachofuata kwahiyo alilosema katibu Mwenezi wa CCM wanamkamata Samia, Nchimbi, Mwinyi na wanachama 500. Watu wa leo siyo wa mwaka 47.
Hizi hapa kauli za Twaha Mwaipaya:-
Screenshot_20240812_180253_Parallel Space.jpg
Screenshot_20240812_180325_Parallel Space.jpg

Kwanini wasimkamate Mwaipaya? Tayari watu wameanza kusafiri kwenda Mbeya, unachofanya ni kuwazuia wasifike
 
Hawezi kufanya maamuzi immediately kwa shinikizo la upinzani. May be itachukua muda not less two months ndio amtoe kazini.
Issue sio upinzani,hapa inazungumziwa raia wa Tanzania ambaye kwa mujibu wa katiba ya nchi yake anaruhusiwa kwenda na kuishi popote ndani ya nchi ilimradi asivunje Sheria. Sasa polisi watuambie Chadema wamevunja Sheria ipo wkt wa safari Yao kwenda Mbeya kwenye siku ya vijana kimataifa. Hadi kupelekea vijana kukamatwa na kupigwq pamoja na viongozi wao? Polisi tunataka mtupwe maelezo. Tunawalipa mishahara kwa kodi zetu Ili mtulinde na mali zetu. Mnakuja kutufanyia wananchi mambo ya kijinga na kuvunja katiba ya nchi.
 
Tatizo ni kauli za vitisho ingawa kwangu binafsi naamini kauli zote zilikuwa ni mkwala hakuna kitu kibaya kingetokea na wengi wetu tusingefahamu hata kinachoendelea.
Kauli imesababisha usumbufu kwa Chama chenyewe,Serikali na wananchi wengi.
Hatahivyo kuna mambo ya kujifunza kuhusu utendaji kazi wa watumishi wa umma ni mbaya kufanyakazi ya umma kwa matwakwa binafsi mfano mgoni wako akija ofisi ya umma na wewe ndiye unatakiwa kumuhudumia mambo yasiyo husiana na kesi yako ya ugoni basi toa huduma bila kinyongo kwakuwa ile kazi ya umma haihusiki na mambo binafsi.
Pia nimefarika kuona kwamba viongozi wameanza kuchambua mchele na chuya katika tukio hilo waliohusika wametambuliwa na kuonesha nia ya kuchukua hatua za kisheria dhidi yao badala ya kujenga chuki kwa taasisi yote hilo ni jambo jema kwani katika hiyo kesi tutabaini upande uliokuwa sahihi katika tukio hilo badala ya kutoa hukumu bila kutoa haki ya kusikilizwa kwa watuhumiwa.
Mwisho siyo busara kumpangia anayeteua afanye nini dhidi ya wateuliwa maana anazo nyenzo za kutosha kupima utendaji kazi wa aliowateua na kuamua kwa busara kwa maslahi ya nchi.
 
Wapi wali resist? they never resisted , even rpc wa mbeya was there kabla ya awaddh, walikuwa tayari kujisalimisha peace fully, alivyifika awadh akaleta violence, was it necessary?
Unaweza uka prove kama Awadh alianza kuwapiga bila sababu. Au hufahamu shombo za Lissu, Sugu na Mnyika?
 
He is the regime's enforcer and an efficient one too..unadhani atatoka kirahisi kisa minongo'no ya mitandaoni,,actually usishangae akapandishwa na cheo kabisa. Serikali inajua kabisa inahitaji watu zaidi kama yy kuelekea 2025..dont expect much
You nail it
 
Ccm haswa UVCCM wamewahi kutoa kauli tata, tena live? Police wali respond? nope
Kauli waliotoa chadema ni politics, we all knew hakuna kijana wa kufanya kama Gen Z
even if wange respond si kwa kuwa treat kama tukio la ujambazi, unatumiaje extreme force wakati watu wamesalimisha bila nguvu?
Sheria za ukamataji ziko wazi , when unatumia nguvu na kwa mazingira yapi

Police walivuka mstari na pia wapunguze. Double standards
Wewe ulikuwepo kwenye zoezi la ukamataji mpka useme polis hawakutumbia reasonable force?, au unasikiliza drama za wanasiasa, human being are political animals so beautiful carefull
 
Issue sio upinzani,hapa inazungumziwa raia wa Tanzania ambaye kwa mujibu wa katiba ya nchi yake anaruhusiwa kwenda na kuishi popote ndani ya nchi ilimradi asivunje Sheria. Sasa polisi watuambie Chadema wamevunja Sheria ipo wkt wa safari Yao kwenda Mbeya kwenye siku ya vijana kimataifa. Hadi kupelekea vijana kukamatwa na kupigwq pamoja na viongozi wao? Polisi tunataka mtupwe maelezo. Tunawalipa mishahara kwa kodi zetu Ili mtulinde na mali zetu. Mnakuja kutufanyia wananchi mambo ya kijinga na kuvunja katiba ya nchi.
That is how governments work. If you don't coerce you cease to become a responsible one.

Tumeona Kenya yule IGP Koome alivyolaumiwa na kisha ku resign. Alikosa maono ya mbele ya what Gen Z would do later
 
Back
Top Bottom