Pre GE2025 Awadhi Haji kubaki ofisini licha ya vitendo walivyofanyiwa CHADEMA ina maana gani? Kwanini hawajibishwi?

Pre GE2025 Awadhi Haji kubaki ofisini licha ya vitendo walivyofanyiwa CHADEMA ina maana gani? Kwanini hawajibishwi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Cha ajab hata askari wenzie hawamuombei mema , wanaogipa siku akiwa iGP
 
Rais Samia angelikuwa amechukizwa na udhalimu alioufanya Awadhi, basi angelikuwa amemfukuza kazi kama alivyowafukuza akina Ummy, Kairuki na wengine wengi baada ya ku underperform to her expectation so to say, if I am right in that thinking!
Si wanasema ameahidiwa uaijipii na mwana namba one
 
Sentensi yenyewe inakuonesha wewe ni mtu gani
Mimi ni mtu wa aina gani? One who can make sense out of rubbish!

Next time jibu hoja, achana na matusi. matusi yatajibiwa kwa matusi, hoja kwa hoja!
Enjoy your day!
 
Mimi ni mtu wa aina gani? One who can make sense out of rubbish!

Next time jibu hoja, achana na matusi. matusi yatajibiwa kwa matusi, hoja kwa hoja!
Enjoy your day!
Unateseka ukiwa wapi? Acha mihemko
 
Moderators, asante kwa kurekebisha heading to look softer! Fine, lakini wahaya wanasema "Otalengya Lulimi". Sema kisu ni kisu, panga ni panga, Spade a spade and not a spoon! Maxence Melo

Have a nice day na hongera kwa JF News services you are offering!
 
Rais Samia angelikuwa amechukizwa na udhalimu alioufanya Awadhi, basi angelikuwa amemfukuza kazi kama alivyowafukuza akina Ummy, Kairuki na wengine wengi baada ya ku underperform to her expectation so to say, if I am right in that thinking!

Pia soma: Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa

Kwanini bado yuko ofisini mpaka sasa?

View attachment 3071388
Utamfukuza mtu baada ya mtu huyo kutekeleza maagizo yako?
 
Hizi hapa kauli za Twaha Mwaipaya:-
View attachment 3071374View attachment 3071375
Kwanini wasimkamate Mwaipaya? Tayari watu wameanza kusafiri kwenda Mbeya, unachofanya ni kuwazuia wasifike
Sometimes kuropoka-ropoka kubaya unaweza unaropoka vibaya ukasababishia wengine mabalaa sasa kauli ya mtu mmoja tu Twaha Mwaipaya imesababu watu kutembezewa kichapo cha kufa mtu
 
Contrary to that, Awadh alifanya kazi ya kutukuka katika nchi hii. Anastahili Promotion. Ni kwa vile akili zako zipo katika mihemko. Angecheza nchi hii ingekuwa katika hali mbaya ya machafuko kama Kenya au Bangladesh. Kazi kuu ya Polisi si kukamata bali kuzuia uharifu. Muulize Ruto ndipo utajua utawala ni nini. Kwa asiyeitakia TZ mema anachukizwa na kazi ya Awadh.
Kasome ripoti za cag na uone polisi wamefanya nini kuhusiana na uhalifu huo
 
The issue is: We appreciate the role of police in the society, but when they go beyond their jurisdiction, then we have to querry and raise a loud, a very loude concern!
Nakubaliana lakini turudi kwenye uhalisia hivi kweli Mnyika aliyesema alipigwa mpaka akalia Mama weee mnaniuwa ndio yule anatoka kwenye media kama katoka harusini, ndio kapigwa mpaka kapiga kelele.
 
Polisi siyo hospitali kusema utapewa uji, Polisi siyo sekondari kuwa utapewa madaftari. You mess up with theirs orders lazima uchezee kichapo
Umesikiliza maelezo ya wahanga? Unafikiri tukivibaliki vitendo vya namna hii tutatengeneza Taifa la namna gani siku za usoni.
 
Ni kuulize swali awadhi sio mwana-siasa , Chadema kufanya maandamano kuna muathiri nini? Ukishajiuliza hili swali ndio utajua he was acting under specific orders
 
Back
Top Bottom