Hivi nyinyi mnaolaumu polisi mnajuwa thamani yao kwa kweli? Siku moja tu tuwatoe polisi wote halafu ndio mtaona umuhimu wao. Hivi wewe ukiona mtu analeta kauli za kuchochea vurugu utasubiri tu mpaka siku vurugu zimeanza ndio uamke. Wafanye siasa lakini sio kulete kauli za kuto heshimu mamlaka, mlitaka polisi wafanye nini? wakae kimyaa. Wanasema mkunje samaki angali mbichi, ukiwachekea nyani...tuache kutafuta huruma wanasiasa wowote kwao kupigwa, kutia mikashikashi na polisi ndio kick yao na Rais aka act akafinika kick yao kwa kubadili watu tu.