We all know anything dark hata sheria ivunjwe vipi, kama limefanywa for ccm basi litapotezewa litasamehewaRais Samia angelikuwa amechukizwa na udhalimu alioufanya Awadhi, basi angelikuwa amemfukuza kazi kama alivyowafukuza akina Ummy, Kairuki na wengine wengi baada ya ku underperform to her expectation so to say, if I am right in that thinking!
Kwanini bado yuko ofisini mpaka sasa?
Huwa uamuzi haufanyiki kwa shinikizo.Ni reasoning.Hawezi kufanya maamuzi immediately kwa shinikizo la upinzani. May be itachukua muda not less two months ndio amtoe kazini.
CDM hawakuwa threat hata kidogo ila walichokosea ni maneno yao ya hamasa.Rais Samia angelikuwa amechukizwa na udhalimu alioufanya Awadhi, basi angelikuwa amemfukuza kazi kama alivyowafukuza akina Ummy, Kairuki na wengine wengi baada ya ku underperform to her expectation so to say, if I am right in that thinking!
Kwanini bado yuko ofisini mpaka sasa?
Contrary to that, Awadh alifanya kazi ya kutukuka katika nchi hii. Anastahili Promotion. Ni kwa vile akili zako zipo katika mihemko. Angecheza nchi hii ingekuwa katika hali mbaya ya machafuko kama Kenya au Bangladesh. Kazi kuu ya Polisi si kukamata bali kuzuia uharifu. Muulize Ruto ndipo utajua utawala ni nini. Kwa asiyeitakia TZ mema anachukizwa na kazi ya Awadh.Rais Samia angelikuwa amechukizwa na udhalimu alioufanya Awadhi, basi angelikuwa amemfukuza kazi kama alivyowafukuza akina Ummy, Kairuki na wengine wengi baada ya ku underperform to her expectation so to say, if I am right in that thinking!
Kwanini bado yuko ofisini mpaka sasa?
Ccm haswa UVCCM wamewahi kutoa kauli tata, tena live? Police wali respond? nopeCDM hawakuwa threat hata kidogo ila walichokosea ni maneno yao ya hamasa.
Kiongozi wao wa BAVICHA anasema " Vijana wote wa Tanzania njooni Ruanda Nzovwe kudai haki zenu". Akaendelea kusema anataka wafanye kama Gen Z ya Kenya.
Hata mimi ningekuwa Camilius Wambura au Awadh ningefanya hivyo hivyo baada ya hayo maneno na hiyo ndiyo alimaanisha.
We have to give credit to our intelligence system otherwise tungekuwa tunalaumu vyombo vya dola sasa hivi kwa kuwa complacent
Mbona Nape, Gekul, Mkuu wa mkoa wa SimiyuHawezi kufanya maamuzi immediately kwa shinikizo la upinzani. May be itachukua muda not less two months ndio amtoe kazini.
Umebadilisha sentensi za Mwaipaya nukuu vizuri usitupoteze tuna akili timamu. Pia aliyetamka ni Mwaipaya Kwa nn asikamatwe yeye kama yeye. Kisha waangalie kinachofuata kwahiyo alilosema katibu Mwenezi wa CCM wanamkamata Samia, Nchimbi, Mwinyi na wanachama 500. Watu wa leo siyo wa mwaka 47.CDM hawakuwa threat hata kidogo ila walichokosea ni maneno yao ya hamasa.
Kiongozi wao wa BAVICHA anasema " Vijana wote wa Tanzania njooni Ruanda Nzovwe kudai haki zenu". Akaendelea kusema anataka wafanye kama Gen Z ya Kenya.
Hata mimi ningekuwa Camilius Wambura au Awadh ningefanya hivyo hivyo baada ya hayo maneno na hiyo ndiyo alimaanisha.
We have to give credit to our intelligence system otherwise tungekuwa tunalaumu vyombo vya dola sasa hivi kwa kuwa complacent
Kwakua hakuna ndugu yako aliyechezea mkong'otoCDM hawakuwa threat hata kidogo ila walichokosea ni maneno yao ya hamasa.
Kiongozi wao wa BAVICHA anasema " Vijana wote wa Tanzania njooni Ruanda Nzovwe kudai haki zenu". Akaendelea kusema anataka wafanye kama Gen Z ya Kenya.
Hata mimi ningekuwa Camilius Wambura au Awadh ningefanya hivyo hivyo baada ya hayo maneno na hiyo ndiyo alimaanisha.
We have to give credit to our intelligence system otherwise tungekuwa tunalaumu vyombo vya dola sasa hivi kwa kuwa complacent
If you resist a lawful order from Police expect brutal reaction. Kwa nini waliopigwa ni Lissu, Sugu na Mnyika? Na siyo wengineCcm haswa UVCCM wamewahi kutoa kauli tata, tena live? Police wali respond? nope
Kauli waliotoa chadema ni politics, we all knew hakuna kijana wa kufanya kama Gen Z
even if wange respond si kwa kuwa treat kama tukio la ujambazi, unatumiaje extreme force wakati watu wamesalimisha bila nguvu?
Sheria za ukamataji ziko wazi , when unatumia nguvu na kwa mazingira yapi
Police walivuka mstari na pia wapunguze. Double standards
Wapi wali resist? they never resisted , even rpc wa mbeya was there kabla ya awaddh, walikuwa tayari kujisalimisha peace fully, alivyifika awadh akaleta violence, was it necessary?If you resist a lawful order from Police expect brutal reaction. Kwa nini waliopigwa ni Lissu, Sugu na Mnyika? Na siyo wengine
Hizi hapa kauli za Twaha Mwaipaya:-Umebadilisha sentensi za Mwaipaya nukuu vizuri usitupoteze tuna akili timamu. Pia aliyetamka ni Mwaipaya Kwa nn asikamatwe yeye kama yeye. Kisha waangalie kinachofuata kwahiyo alilosema katibu Mwenezi wa CCM wanamkamata Samia, Nchimbi, Mwinyi na wanachama 500. Watu wa leo siyo wa mwaka 47.
Issue sio upinzani,hapa inazungumziwa raia wa Tanzania ambaye kwa mujibu wa katiba ya nchi yake anaruhusiwa kwenda na kuishi popote ndani ya nchi ilimradi asivunje Sheria. Sasa polisi watuambie Chadema wamevunja Sheria ipo wkt wa safari Yao kwenda Mbeya kwenye siku ya vijana kimataifa. Hadi kupelekea vijana kukamatwa na kupigwq pamoja na viongozi wao? Polisi tunataka mtupwe maelezo. Tunawalipa mishahara kwa kodi zetu Ili mtulinde na mali zetu. Mnakuja kutufanyia wananchi mambo ya kijinga na kuvunja katiba ya nchi.Hawezi kufanya maamuzi immediately kwa shinikizo la upinzani. May be itachukua muda not less two months ndio amtoe kazini.
Unaweza uka prove kama Awadh alianza kuwapiga bila sababu. Au hufahamu shombo za Lissu, Sugu na Mnyika?Wapi wali resist? they never resisted , even rpc wa mbeya was there kabla ya awaddh, walikuwa tayari kujisalimisha peace fully, alivyifika awadh akaleta violence, was it necessary?
You nail itHe is the regime's enforcer and an efficient one too..unadhani atatoka kirahisi kisa minongo'no ya mitandaoni,,actually usishangae akapandishwa na cheo kabisa. Serikali inajua kabisa inahitaji watu zaidi kama yy kuelekea 2025..dont expect much
Wewe ulikuwepo kwenye zoezi la ukamataji mpka useme polis hawakutumbia reasonable force?, au unasikiliza drama za wanasiasa, human being are political animals so beautiful carefullCcm haswa UVCCM wamewahi kutoa kauli tata, tena live? Police wali respond? nope
Kauli waliotoa chadema ni politics, we all knew hakuna kijana wa kufanya kama Gen Z
even if wange respond si kwa kuwa treat kama tukio la ujambazi, unatumiaje extreme force wakati watu wamesalimisha bila nguvu?
Sheria za ukamataji ziko wazi , when unatumia nguvu na kwa mazingira yapi
Police walivuka mstari na pia wapunguze. Double standards
That is how governments work. If you don't coerce you cease to become a responsible one.Issue sio upinzani,hapa inazungumziwa raia wa Tanzania ambaye kwa mujibu wa katiba ya nchi yake anaruhusiwa kwenda na kuishi popote ndani ya nchi ilimradi asivunje Sheria. Sasa polisi watuambie Chadema wamevunja Sheria ipo wkt wa safari Yao kwenda Mbeya kwenye siku ya vijana kimataifa. Hadi kupelekea vijana kukamatwa na kupigwq pamoja na viongozi wao? Polisi tunataka mtupwe maelezo. Tunawalipa mishahara kwa kodi zetu Ili mtulinde na mali zetu. Mnakuja kutufanyia wananchi mambo ya kijinga na kuvunja katiba ya nchi.