Pre GE2025 Awadhi Haji kubaki ofisini licha ya vitendo walivyofanyiwa CHADEMA ina maana gani? Kwanini hawajibishwi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi nyinyi mnaolaumu polisi mnajuwa thamani yao kwa kweli? Siku moja tu tuwatoe polisi wote halafu ndio mtaona umuhimu wao. Hivi wewe ukiona mtu analeta kauli za kuchochea vurugu utasubiri tu mpaka siku vurugu zimeanza ndio uamke. Wafanye siasa lakini sio kulete kauli za kuto heshimu mamlaka, mlitaka polisi wafanye nini? wakae kimyaa. Wanasema mkunje samaki angali mbichi, ukiwachekea nyani...tuache kutafuta huruma wanasiasa wowote kwao kupigwa, kutia mikashikashi na polisi ndio kick yao na Rais aka act akafinika kick yao kwa kubadili watu tu.
 
Kwakua hakuna ndugu yako aliyechezea mkong'oto
Polisi siyo hospitali kusema utapewa uji, Polisi siyo sekondari kuwa utapewa madaftari. You mess up with theirs orders lazima uchezee kichapo
 
Raisi Samia kutuma Askari awapige Wapinzani😳 Sizani...Lets wait and See, ila Jamaa UIGP bye bye- Iwapo kama atapewa UIGP kama unavyosemwa then kweli ntaamini anausika
 
Unaweza uka prove kama Awadh alianza kuwapiga bila sababu. Au hufahamu shombo za Lissu, Sugu na Mnyika?
unaweza ku prove kuwa hawakufanya hivyo?
If then why police hawajajitokea kunakunasha including huyo awadh?
I know michezo ya wanasiasa but kuna mahali ikifika police wanavuka red lines. Watu kama wale ni kuwaita kwa barua no need for violence

Nini kilimpelekea awadh kutumia nguvu kupitiliza as if wahusika ni majambazi yenye silaha?
 
If you resist a lawful order from Police expect brutal reaction. Kwa nini waliopigwa ni Lissu, Sugu na Mnyika? Na siyo wengine
Lawful order ambayo law yake ni kandamizi!!
 
Wewe ulikuwepo kwenye zoezi la ukamataji mpka useme polis hawakutumbia reasonable force?, au unasikiliza drama za wanasiasa, human being are political animals so beautiful carefull
sijasikiliza upande mmoja, i have watu walioko pale, and i experienced that before, sehem ambayo mtu haja resist lakin wanatumia minguvu kupitiliza so sishangai.
Kuna police brutality hapa kwa simple task kama hiyo,

Kama viongozi wa chadema wangekuwa wame resist or wamefomea wito wa police basi ningekuwa upande wa police, and wana deserve such treatment. Until then it time to expose unprofessionalism inayoendelea ndani ya hiko chombo
 
Unatakiwa uzuie kabla ya kitendo maana ukiwaachia wa Mbeya utawaumiza wengi na utasikia wa Arusha nao wameingia mara wa Dar then wa Moro mtiti unakuahinda.

Tunataka Tanzania paendelee kuwa mahali pa amani na bora pa kuishi. Ku replicate situation ya Kenya isn't a feasible approach.

Mitano tena kwa huyu mwamba Awadh. Single handedly ameweza kuzuia HOOLIGANISM ya hawa wapumbavu ambayo would have costed our nation property loss and peace
 
He was trained to apply force in circumstances like those ones. Ule siyo mkutano wa Mwakasege kuwa utabembelezwa
 
Kwani chadema wamefanyiwa vitendo gani mambo mnatutisha ukizingatia wote walikuwa vidume?
 
He was trained to apply force in circumstances like those ones. Ule siyo mkutano wa Mwakasege kuwa utabembelezwa
Miaka hiyo, Wakati na serve nchi yangu kwenye chombo kimoja wapo as member wa security force ya nchi hii, i was taught where and when to use lethal force, and i know rules zote za ukamataji.
Na tulikuwa tunaonywa madhara na implication za kufanya hivyo, i have some of my friends walipoteza kazi mpaka kufungwa sababu ya kutumia force kupitiliza sehem zilizohitaji busara

Kuwa trained ni another thing na ku apply such knowledge ni another things, unatakiwa kutumia akili sana si kukurupuka
 
Polisi siyo hospitali kusema utapewa uji, Polisi siyo sekondari kuwa utapewa madaftari. You mess up with theirs orders lazima uchezee kichapo
Wewe ndiyo hakuna kitu kabisa. Hakuna unachoelewa kwenye kanuni za utendaji kazi za jeshi la polisi. Hivi una uelewa hata mdogo wa PGO au unabwabwaja tu? Unaelewa ni mazingira gani polisi amepewa mamlaka ya kutumia nguvu, na ni wakati gani haruhusiwi?
 
Kwa maelezo ya viongozi wa CDM na mlolongo wa kadhia yao. Namna walivyokuwa wanapewa ushirikiano na jeshi la polisi nje ya mshike mshike wq Awadhi Juma.

Ni wazi Awadhi Juma na Sisty Nyahodhs walikuwa na maelekezo ambayo wengine hawana ndani ya jeshi la polisi. Ni kwamba kuna mtu serikalini au kwenye chama ndio aliempa hiyo kazi afande Awadh Juma.
 
Mitano tena kwa huyu mwamba Awadh. Single handedly ameweza kuzuia HOOLIGANISM ya hawa wapumbavu ambayo would have costed our nation property loss and peace
Eti ambayo would have costed our nation property loss and peace...! Stuxnet, Stuxnet, Stuxnet...asante sana, endela hivyo hivyo! Leo humu usitoke. Umetufungua macho na ushahidi wako ni muhimu sana!
 
Wapinzani wa kisiasa waliopo Tanzania mnajisumbua tu, matamko na malalamiko yenu Wala hayawezi kuihangaisha CCM, Polisi au vyombo vingine vya Usalama.
Wapinzani ikiwamo na CHADEMA mmebaki na option moja tu, aidha to resist and Hit back or to admit the permanent defeat.
 
Ni dhahiri ulipoandika huu upuuzi/ushuzi ulikuwa umelewa gongo.
 
Huko Arusha Omar Mahita ( ndio yule wa kesi ya Mbowe) kama ilivyoandikwa kwenye magazeti ya Leo kamvunja mtu mguu kwenye mahojiano polisi.
Ukimuona Kobe juu ya mti ujue kapandishwa ndivyo kwa Awadh na Mahita
 
The issue is: We appreciate the role of police in the society, but when they go beyond their jurisdiction, then we have to querry and raise a loud, a very loude concern!
 
We can't let our country be run by dogs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…