October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Kichwa changu kigumu kuelewa.
Rudi zanzibar mkasutane na mamako mkaimbe taarabu na mama abdul.Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!
Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone
Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Rudi zanzibar mkasutane na mamako mkaimbe taarabu na mama abdul.
Hatumtaki
Na umeandika kama huna ubongo
Lissu yuko lupango,hana mpango wa kujipendekeza hata wengine wote wakimgeuka, ni yeye na mabadiliko ya kweli.
Wapemba jifunzeni kiswahili kwanza ndipo mtafute elimu.... Madrassa yamewatoa akili kabisa
Hata mimi kiswahili cha pemba huwa sikielew kabsaKichwa changu kigumu kuelewa.
Sahau 🤣🤣🤣🤣🤣 kwishaaaaaaaaaaaaaMtajua hamjui! Na bado. Mwajifanya wapanga mipango! Pangeni tena!
Hamchomoki!
Alafu Yule kibaraka wenu aliyegerezani tunamtoa august ili akili ziwakae
Kumbe mliingizwa cha kike kumuweka jela !
Vipi unadhani kama walio waingiza cha kike kwa ushauri wa kumfungulia kesi simba wa unguja kwamba hawana plan nyingie hadi wahakikishe mpo nje ya reli?
Nyie pambaneni kula urojo haya mengine yatawatoa rohoRound hii mtajua siye na ninyi wepi wenye elimu. Pangeni siye twapangua! Oktober hii hapa! Afu siye tukipanga msijejiliza liza kama wajane
Ameandika kama.hana ubongo 🤣🤣🤣Praise and worship team
Sahau 🤣🤣🤣🤣🤣 kwishaaaaaaaaaaaaa
NA kasusa 🤣🤣🤣🤣🤣
NO REFORMS NO ELECTION
unalazimisha kupendwa na watanganyika hawa kutaki bibi chura kiziwi