Awamu hii tumewakamata na hamchomoki. Mwajifanya mwajua kupanga pangeni na hii

Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!

Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone

Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Content futeni hizi takataka
 
Mweezi waa nanhee tutakula urojo siyee. Mwafanya masihalaa. Tutaandamana unguja nzimaaa hadi mchamba wima.
 
October 2pm pole sana. Tanganyika/Tanzania ina mifumo na vimifumo ambavyo hata nyerere ndiyo vilimuondoa, yaani aliyeviasisi vilimuondoa sembuse nani wamshindwe??? In short ukipingana na mifumo utaelekea kuona unataka kushinda kumbe wenzako wanakupeleka zaidi ili wajue wote waliopo nyuma. Mimi ni mkulima sijui kitu ila ushahidi unaonesha hata Ben Mkapa alichezewa game alipokuja na mgombea wake, same kwa Kikwete, so kwa hali ya sasa hatuwezi kujua, ila tu kaa ukifahamu kuwa mifumo yetu iko kama maji yaani huwezi kumjua nani ni nani na nini ni nini na wakati gani, so pole tena na pole tena, ila inawezekana ukalia machozi kama tulivyolia kwa Dkt Magufuli maana hakuna aliyetegemea Dkt Magufuli atakufa

Ndio nimesema wakati huu itajulikana. Ushanfahamu!
Lisu, polepole, gwajima wote twajua wametumwa na nani. Subirini
 
Ningekuwa mi Dkt Samia, ningetangaza sigombei kabisa urais, narudi zangu kizimkazi kula bata na wajukuu na kulinda heshima yangu kuliko watu watekwe na kuuawa halafu asingiziwe Dkt Samia wakati makundi yanayoteka na kuua yeye hahusiki nayo kabisa
 
Mkuu,karata tayari mshaziharibu,wanachofanya sasa hivi ni wakalambisha magarasha na nyie mtaendelea kulamba,mlitakiwa muwalambishe na siyo kulambishwa
 
Ningekuwa mi Dkt Samia, ningetangaza sigombei kabisa urais, narudi zangu kizimkazi kula bata na wajukuu na kulinda heshima yangu kuliko watu watekwe na kuuawa halafu asingiziwe Dkt Samia wakati makundi yanayoteka na kuua yeye hahusiki nayo kabisa

Watu mchana wamulika taa jua kiangazini. Kumbe usiku wakuchoma.
Tutaona
 
Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!

Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone

Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Hii kenge ya zenji hii...
 
Ndio nimesema wakati huu itajulikana. Ushanfahamu!
Lisu, polepole, gwajima wote twajua wametumwa na nani. Subirini
Inawezekana ila pia ukae ukijua pia ile mifumo halisi inawajua na inawachezea game. Hivi kuna rais aliyekuwa na mifumo imara ya kujitengenezea kama Dkt Magufuli??? Narudia kukupa pole tena, hii ni Tanzania my friend, yaani ni dude! Ushauri wangu kama upo karibu na Dkt Samia, mjulishe aachane na kugombea akalee wajukuu kizimkazi. Atajijengea heshima kuliko kujibizana na wabongo ambao walishajipanga kuutaka urais.
 
Back
Top Bottom