Awamu hii tumewakamata na hamchomoki. Mwajifanya mwajua kupanga pangeni na hii

Tuachie taarabu zako hako hapa maandishi matatu TMK/ USA.
Wewe kapindue chapati huko na rais wenu wa viti maalum
 
Mtajua hamjui! Na bado. Mwajifanya wapanga mipango! Pangeni tena!
Hamchomoki!
Alafu Yule kibaraka wenu aliyegerezani tunamtoa august ili akili ziwakae
Una uhakika hata kama Lisu akigombea Urais akiwa Gerezani mtashinda?
 
Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!

Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone

Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
We mla urojo hebu weka audio ya hii paragraph yako tucheke vizuri😂😂😂😂
 
Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!

Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone

Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Tatizo hawakuhusishi ndio maana unafikri unajua!
 
Amijay walahi watoa vichambo weye, kwani wapatikana wapi? Mchamba wima ama?
 
Huyu jamaa mbona kama amebadiri msimamo. Atakuwa alipitiwa nini ?
 
Back
Top Bottom