Awamu hii tumewakamata na hamchomoki. Mwajifanya mwajua kupanga pangeni na hii

Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!

Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone

Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Hiki ni 'Kidhungu' cha Unguja hiki!

Sasa tuelewe liPi,..., "Oktoba ya Mama"? Kwa namna gani?
 
Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!

Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone

Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Hongera ndio siasa bob
 
Kiswahili Cha Kizenji
 
Sina hakika kama unaelewa unacho kizungumzia; na kama unakielewa, basi itakuwa ni kwa sababu ya kilevi kinachokuwezesha kufanya hivyo.
Mkuu Kalamu mambo ninayosikia kwenye ''corido'' yanatia matumaini japo bado niko sceptical kwa sababu kumwondoa shetani kwenye mwili wa binadamu si kazi rahisi! Ushauri wako ni nini? Nimeshanunua sanduku la Safari Larger nasubiri!
 
Back
Top Bottom