Awamu hii tumewakamata na hamchomoki. Mwajifanya mwajua kupanga pangeni na hii

Mkuu Kalamu mambo ninayosikia kwenye ''corido'' yanatia matumaini japo bado niko sceptical kwa sababu kumwondoa shetani kwenye mwili wa binadamu si kazi rahisi! Ushauri wako ni nini? Nimeshanunua sanduku la Safari Larger nasubiri!
Usifanye lolote, hadi Shujaa aingie mtaani kwanza, na kazi halisi ya kulikomboa taifa hili mara ya ili ianze.
Tukifikia kwenye ngazi hiyo, nibakishie kama tano hivi, nijumuike na waTanzania wenzangu.
 
Kwa Mara ya Kwanza nashuhudia nyuzi za wapemba wakiwa determined na frustrated, kuna kitu hakiko sawa, sijui ni polepole , Gwajima au nani sijui. Hivi hakuna wa kumwaga radhi tuone ya sirini huko?
 
Wamwaga damu wapi? Wee ulisikia Zanzibar kuna wamwaga damu...
Hizo tabia za bara, ushanfahamu? Ustaarabu tumeumbiwa
Mna ustaarabu gani?
H Vipi wale vijana mnaokuwa mnawatumia kwenye uchanguzi, Janjaweed (mazombi) ustaarabu huo?
Utawala wa bi mkubwa wako unateka watu na kuwafir** kuna ustaarabu hapo weye mahurukutabu?
 
Wamwaga damu wapi? Wee ulisikia Zanzibar kuna wamwaga damu...
Hizo tabia za bara, ushanfahamu? Ustaarabu tumeumbiwa
Kete pekee aliyonayo nduguyo ni kuwapa upinzani urais!Ili tukose wote!!Hilo linawezekana kabisa!!

Ampe lisu CCM tupoteze dola!hakuna mbinu zaidi ya hiyo!
 
Wamwaga damu wapi? Wee ulisikia Zanzibar kuna wamwaga damu...
Hizo tabia za bara, ushanfahamu? Ustaarabu tumeumbiwa
unajitetea tu ila uliechafuka ni wewe mama hata kama hukumwaga wewe naona umepanic calm down its too late hapo ni kujifariji tu kumebakia ila wamekuweza,wamefanya mambo yao kwa jina lako unadhani kwa kukataa huusiki ndio watanzania tutakuelewa?
we unakubali kuongozwa kama remote kwanini hukutumia akili zako toka mwanzo unashtuka kumepambazuka?pole sana damu za watanganyika zipo juu yako either ukatae ukubali na kitu ulichokalia hakikutoshi achia ngazi
 
Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!

Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone

Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Acha bangi za Kikwajuni wewe, chura kiziwi ni wa kibanda maiti.
 
unajitetea tu ila uliechafuka ni wewe mama hata kama hukumwaga wewe naona umepanic calm down its too late hapo ni kujifariji tu kumebakia ila wamekuweza,wamefanya mambo yao kwa jina lako unadhani kwa kukataa huusiki ndio watanzania tutakuelewa?
we unakubali kuongozwa kama remote kwanini hukutumia akili zako toka mwanzo unashtuka kumepambazuka?pole sana damu za watanganyika zipo juu yako either ukatae ukubali na kitu ulichokalia hakikutoshi achia ngazi
Safi sana, bila shaka huyu ni yule mtoto wake wa kike, atafikisha kwa mama yake ujumbe huu.
 
Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!

Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone

Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Kwa vijembe hivi haiyumkini wewe ni Ke
 
Vyvyte itakavyokuwa,ccm ikiondoka madarakani binafis niafurahi sana.
 
Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!

Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone

Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Chawa hamuamini!
 
Upo bize na taarabu mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli hii nchi kila mtu na lake kichwani
 
Wapemba jifunzeni kiswahili kwanza ndipo mtafute elimu.... Madrassa yamewatoa akili kabisa
Naona umefika mbali! Huwajui Wapemba. Naomba nikwambie tu kwamba achana na Wapemba kwa elimu. Wanayo hii elimu munayojidanganya kuwa wabobezi kwayo, lkn pia wanayo ya madrasa, kama ulivyosema, ambayo ingetosha kuiongoza dunia, seuze Tanzania ambayo ndani yake imo Tanganyika kwa jina la kale.
 
Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!

Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone

Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Sijaelewa, na wewe ni buku7 au Mtanganyika? Weka hoja zako vizuri upokee muamala.
 
Back
Top Bottom