Awamu hii tumewakamata na hamchomoki. Mwajifanya mwajua kupanga pangeni na hii

Rudi zanzibar mkasutane na mamako mkaimbe taarabu na mama abdul.
Hatumtaki
Na umeandika kama huna ubongo
Yaani wewe ndo umenifumbua macho. Nilikua sielewi kinachoendelea mpaka nilivoisoma tena kwa sauti ya kizenji ndo nimefanikiwa kuelewa, japo sipata maana ya maudhui yake. sijui anamaanisha nini
 
Huko ccm kimewaka mama kasusa watu hawamtaki fuatilia tangazo/barua ya leo ya sisiemu na nyuzi zimemwagwa hapa kama.zote. mama kakimbilia zenji moto unawaka kila kona
 
Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!

Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone

Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Mtunzi mzuri wa taarab.
 
Kwa taarifa yako wee nyumbu, hiyo NRNE election imetokea chama kubwa kwa bwana Yule, akampa mzee wa bapa kabla hajafurushwa, ilikuwa trick tuu kumtingisha Mama.
Lakini kila kitu kilivurugwa baada ya uchaguzi wa chadema. Mengine yabaki kwenye faili
Acha kutupanga, kwanza uyo mama anachotaka ambacho hajakipata ni kipi?
 
Wabaraa mwatuzalau sana siyee wanzanzibari. Lakini safari hii lazima tuwatawalee kotekote mpaka ifike elfu selasini.

Mwatufahamu siye. Mambo yetu taratibu hatutaki papara kama nyie wabaraa. Tushamaliza mchezo pale Dodoma.
Hapa sasa ndo umearibu kabisa , halitafanikiwa asema Bwana
 
Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!

Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone

Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
We mpemba tulia tulii
 
JAhazi modern taarabu.
 
Acha kubana pua...safari hii tunawarudisha Unguja bila kupenda.
 
Ni taahita pekee anawea kushadadia uchaguzi katika mfumo huu wa sasa.

Kizuri zaidi CCM nao wameshtuka kupachukiwa kiongozi bila kufuata taratibu za kidemokrasìa ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom