Awamu hii tumewakamata na hamchomoki. Mwajifanya mwajua kupanga pangeni na hii

Awamu hii tumewakamata na hamchomoki. Mwajifanya mwajua kupanga pangeni na hii

Kwani shida zako.

Sisi twataka amani, wao washika shari. Tulianza kwa salama, sasa wanataka tuharibike. Basi na wapange sasa hivi kama kweli ni mahodari
Huyo Polepole akija unguja twamgombania. Anaharibu Amani yetu. Ataka shari tu basi. Hatufahamu siye wanzanzibari.
 
Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!

Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone

Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Najaribu kuvuta picha huyu binti mwenye huu mwandiko anafananaje? I bet atakuwa single mother
 
Huyo Polepole akija unguja twamgombania. Anaharibu Amani yetu. Ataka shari tu basi. Hahahaha siye wanzanzibari.
Sisi twampeleka mpirani, yale ya kina Ronaldo na Messi. Si haya ya ndondo za viunga! Atakuja jua kama bado hajui. Sisi tukikupokea kwa salamu, salimika. Lakini ukija kwa jeuri, tobo iko, kanzu iko, hata ushikwe na kizunguzungu cha kidude!
 
Mmeyataka wenyewe. Sisi ni wema, ukija kistarabu. Lakini ukija kishari, twakupika kama urojo wa mchana! Tuliyosema, tuyashike. Makubaliano ni makubaliano bwana. Usimtie mchele kwenye urojo kama huna meno.
Umewaambia ukweli. Umewachoma kidole msalaani. Ushayashika sehemu mbaya. Safari hii na siye tule urojo.
 
astala victoria siempre gentleman :pedroP:

Kama nakuona:

Go__wjRWgAASHWd.jpeg


Kwema huko?
 
Back
Top Bottom