October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
- Thread starter
- #61
Mama nipe kanafasi BOT nikatiki October
Mimi sio mamaako! Ninyi ndio walewale
Mama nipe kanafasi BOT nikatiki October
Ni kweli na ndiyo maana sisi wajinga wajinga tulimuonya Dkt Samia toka enzi zile za siku ile kwenye sherehe ya wanawake alipochomekewa kuhusu kugombea aisee akaropoka kusema atagombea, na hapo ndipo vita ilianzia rasmi. In short kifo cha Dkt Magufuli kina athari kubwa sana kwa Dkt Samia, maana kauli zake nyingine zilionesha kama alimuua Dkt Magufuli, rejea mfano kauli ya Chalamila. Ili awe poa alipaswa kuachana na kugombea.Watu mchana wamulika taa jua kiangazini. Kumbe usiku wakuchoma.
Tutaona
Inawezekana ila pia ukae ukijua pia ile mifumo halisi inawajua na inawachezea game. Hivi kuna rais aliyekuwa na mifumo imara ya kujitengenezea kama Dkt Magufuli??? Narudia kukupa pole tena, hii ni Tanzania my friend, yaani ni dude! Ushauri wangu kama upo karibu na Dkt Samia, mjulishe aachane na kugombea akalee wajukuu kizimkazi. Atajijengea heshima kuliko kujibizana na wabongo ambao walishajipanga kuutaka urais.
Anguko kubwa moja takatifu liko njianiTulitafuta haki ya wanzanzibar
Nshakufahamuuu shehee. tulikutana pale makunduchi tukaenda sote mchamba wimaa.Ndio nimesema wakati huu itajulikana. Ushanfahamu!
Lisu, polepole, gwajima wote twajua wametumwa na nani. Subirini
Hiki ni kiluga gani jomba?🤣Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!
Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone
Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Hiki chama kimejiingiza kwenye mtego mbaya saana. Na kwanini alazimishe watu hawakutakiKasusa hata vikao vya mchujo. Wamesogeza mpk tarehe 26 ili waendelee kumbembeleza akubali kurudi kwenye matari
Nshakufahamuuu shehee. tulikutana pale makunduchi tukaenda sote mchamba wimaa.
Ushanifahamu shehee??.
Hiki ni kiluga gani jomba?🤣
Wabaraa mwatuzalau sana siyee wanzanzibari. Lakini safari hii lazima tuwatawalee kotekote mpaka ifike elfu selasini.Inawezekana ila pia ukae ukijua pia ile mifumo halisi inawajua na inawachezea game. Hivi kuna rais aliyekuwa na mifumo imara ya kujitengenezea kama Dkt Magufuli??? Narudia kukupa pole tena, hii ni Tanzania my friend, yaani ni dude! Ushauri wangu kama upo karibu na Dkt Samia, mjulishe aachane na kugombea akalee wajukuu kizimkazi. Atajijengea heshima kuliko kujibizana na wabongo ambao walishajipanga kuutaka urais.
Kuandika tu hujui, hiyo nguvu ya kuamua utaitoa wapi
Rimoti ya Msoga ilimdanganyaHiki chama kimejiingiza kwenye mtego mbaya saana. Na kwanini alazimishe watu hawakutaki
Bila shaka wewe ni Abduli mawazo mengi mamayo zako wewe unawaza utapigaje tena madili ya ikulu mbwa wewe.Nendeni kwenu Omani..Tanganyika yetu tuachieni wenyeweee
Jifunze kwanza kuandika.Hukuelewa nikufahamishe?
Hata mimi.Kichwa changu kigumu kuelewa.
oktoba ya amani,oktoba ya maendeleo,sio porojo,fitna na uzushiOktober imesimama! Oktoba ya Mama!
Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone
Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Wabaraa mwatuzalau sana siyee wanzanzibari. Lakini safari hii lazima tuwatawalee kotekote mpaka ifike elfu selasini.
Mwatufahamu siye. Mambo yetu taratibu hatutaki papara kama nyie wabaraa. Tushamaliza mchezo pale Dodoma.