Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Watu wote hawatakubali kuhama kwa hiyari lazima nguvu itumike kwa kiasi chake..sisemi wasihamishwe.
..napendekeza waelimishwe na kushawishiwa kuhama.
..naona kama serikali imekurupuka na ndio maana kuna mzozo.
Watu wote hawatakubali kuhama kwa hiyari lazima nguvu itumike kwa kiasi chake
Tunaomba uweke food chain ama food web inayomhusisha mmasai huko mbugani.sexless hivi unajua wamasai ni sehemu ya ecology ya mbugani
Bange za jioni balaa aisee! Yani Wasukuma hapo ilikuwa sehemu yao ya enzi na enzi kama vile ilivyo kwa Wamasai kule Ngorongoro?Kuna kelele nyingi sana kufuatia dhamira njema ya serikali ya kuwaondoa wamasai kwenye pori tengefu la Loliondo.
Kwanini wamasai wa Loliondo wanataka wawe na special treatment nchi hii?
Awamu ya 4 iliwaondoa wafugaji maeneo ya bonde la Usangu, Ihefu, na Ujiji lkn hakuna aliyepiga kelele. Why??
Kwa hiyo unategemea watu wakielimishwa tu basi watahama kwa hiyari yao? Waliokuwa wakiishi mabondeni hawakuimbiwa sana lakini hawakuhama? Tena licha ya ku experience mafuriko..Ni kwasababu serikali yetu haijisumbui kutoa elimu.
..Serikali inategemea kupita kiasi matumizi ya nguvu au mabavu.
..Na nguvu zimekuwa zikitumika mara nyingi, na kwa muda mrefu, kiasi kwamba tunaamini ndio njia sahihi ya kuhamisha watu ktk maeneo yao.
..unaweza kujiuliza serikali na mamlaka ya uhifadhi ya Ngorongoro walikuwa wapi mpaka idadi ya watu na mifugo imeongezeka kiasi cha kutishia hifadhi hiyo?
Hujui kuwa kikatiba milki ya ardhi iko chini ya rais hivyo anaweza kubadili matumizi yake muda wowote?Bange za jioni balaa aisee! Yani Wasukuma hapo ilikuwa sehemu yao ya enzi na enzi kama vile ilivyo kwa Wamasai kule Ngorongoro?
Ingekuwa wasukuma wanahamishwa kutoka Shinyanga wangetetewa kwa nguvu.
Kwa sababu was ndio wenyekujua uhifadhi bora wa "Alizi"Walipohamishwa wasukumwa hapakuwa na kelele eneo hilo anataka kupewa mjomba, kwanini Loliondo na Ngorongoro kelele za kuwahamisha wamasai huibuka tu pale waswahili wa Pwani wanapoingia ikulu?
Vipi kuhusu villagilazation policy watu walivamiwa maeneo ndio wakahamishwa?..Wamaasai kwa maelfu ya miaka wamekuwa wakiishi na wanyama huko Ngorongoro na serikali ndiyo iliyowafuata na kuamua kuanzisha hifadhi ya wanyama.
..Wasukuma wao walitoka makwao Usukumani na kwenda kuvamia bonde la Usangu, Ihefu, wakiwa na mifugo, na sio wenyeji wa eneo hilo.
..Kinachotakiwa kufanya ni kutoa ELIMU kwa Wamaasai ili wakubali kuhama na kwenda maeneo mengine na kutoa nafasi kwa serikali kutumia eneo lao kwa ajili ya utalii.
Vipi kuhusu villagilazation policy watu walivamiwa maeneo ndio wakahamishwa?
Kuna kelele nyingi sana kufuatia dhamira njema ya serikali ya kuwaondoa wamasai kwenye pori tengefu la Loliondo.
Kwanini wamasai wa Loliondo wanataka wawe na special treatment nchi hii?
Awamu ya 4 iliwaondoa wafugaji maeneo ya bonde la Usangu, Ihefu, na Ujiji lkn hakuna aliyepiga kelele. Why??
Ndugu zanguni.
Kabila LA wasukuma liheshimiwe kabisa....
Ameelewa hayo mambo hayalinganishiki kati ya Wasukuma na Wamasai[emoji1417][emoji1417][emoji1417]..Wamaasai kwa maelfu ya miaka wamekuwa wakiishi na wanyama huko Ngorongoro na serikali ndiyo iliyowafuata na kuamua kuanzisha hifadhi ya wanyama.
..Wasukuma wao walitoka makwao Usukumani na kwenda kuvamia bonde la Usangu, Ihefu, wakiwa na mifugo, na sio wenyeji wa eneo hilo.
..Kinachotakiwa kufanya ni kutoa ELIMU kwa Wamaasai ili wakubali kuhama na kwenda maeneo mengine na kutoa nafasi kwa serikali kutumia eneo lao kwa ajili ya utalii.
unaruhusiwa kuishi mahali popote mradi usivunje sheria. mahali ambapo bunge limeidhinisha kuwa hifadhi tayari panalindwa kisheria huwezi ukaishi. Hapo kwa wamasai palitungiwa sheria tangu mwaka 1959 kuwa wamasai na wanyama waishi.Hebu jaribu kwenda kuishi kwenye mbuga za wanyama au hifadhi uone kama hiyo haki bado utakuwa nayo.
wewe ndiye mbumbumbu. tafuta ya mwaka 1959 ambayo ndiyo iliunda mamlaka ya hifadhi ya ngorongoro, utajielimisha na itakusaidia uondokane na ulimbukeni wako uliojaa ushabiki wa kipumbavu wa kiccmFicha umbumbu wako pori tengefu la Loliondo Kuna vyanzo vya maji na mito ni vijito vinyoenda Serengeti na Ngorongo na mazilia ya Nyumbu wanaohama hama kati ya Kenya na Tz
Utalii unaingiza fedha nyingi za kigeni kuliko mpunga wa Ihefu