Ngorongoro kuna NGOs zaidi ya elfu ajira zao zikitegemea wamasai. NGOs zingine makao makuu yakiwa Arusha. Wanakula kuku kwa mrija Arusha, Loliondo wanaenda tu kazini kupiga piga za wanyonge ili ripoti ziende kwa donors zikionesha hali ngumu ya wenyeji.
Wamasai wakiondolewa hizo NGOs zitakula wapi? Mbunge wa Ngorongoro atawakilisha nini? Wakenya watafugia wapi ng'ombe zao kwa kisingizio cha Masai hana border? Zaidi Wakenya wanategemea Loliondo kama chanzo cha nyama nzuri ambayo pamoja matumizi ya ndani ya nchi yao lakini pia husafirisha nje ya Kenya kama Kenyan product.
Ngorongoro mambo yameingiliana sana, kelele zote unazosikia ni maslahi binafsi wala si huduma kwa wamasai.
Wamasai wahamishwe mara moja kukata mirija ya Wakenya. Ni ujinga nchi kutumiwa vibaya na Kenyan petty bourgeoisis Na Kwa madharau hao hao Wakenya wamekimbilia mahakamani kuweka pingamizi. Worse enough mahakama walizoenda Jaji anaitwa Nyachae, mkenya mwenzao. Kweli? Hapana, inatosha sasa.