johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee hilo la mkopo ni swala binafsi siyo la watumishi wote!Ignore inakuhusu kwakweli sina namna, Hebu waeleze wanajamvi hii aslimia imeshuka kuanzia mwaka gani? Hivi unadhani mtumishi anaumia kwa PAYE peke yake, bora hiyo aslimia ingebaki ila ya HESLB wakawapunguzia kurudi awali na waliomaliza waongezewe tu mishahara maana ni haki yao.
Baada ya apo nakupiga ignored. Ahsante sana JF kuweka hii option.
Bwashee hilo la mkopo ni swala binafsi siyo la watumishi wote!