Awamu ya 5 imeongeza mishahara ya Watumishi kwa njia ya kupunguza kodi ya PAYE

Wapinzani wamekuwa wakieneza propaganda kwamba serikali haiwajali Watumishi na kwamba haijawaongezea mishahara kwa miaka 5 sasa.

Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home).

Serikali ya awamu ya 5 imetumia njia ya pili ya kuhakikisha mshahara wa kwenda nao nyumbani unaongezeka ndio maana kila mwaka kodi ya Wafanyakazi PAYE imekuwa ikishuka na sasa imefikia 9%

Kwahiyo ni ukweli usiopingika kuwa mshahara umeongezeka kila mwaka baada ya PAYE kupungua to single digit.

Ijumaa kareem.

Maendeleo hayana vyama!

Naona unawachokoza wafanyakazi wa umma.. Hii ni njia ya kuwakasirisha zaidi, kheri ukae kimya
 
Wapinzani wamekuwa wakieneza propaganda kwamba serikali haiwajali Watumishi na kwamba haijawaongezea mishahara kwa miaka 5 sasa.

Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home).

Serikali ya awamu ya 5 imetumia njia ya pili ya kuhakikisha mshahara wa kwenda nao nyumbani unaongezeka ndio maana kila mwaka kodi ya Wafanyakazi PAYE imekuwa ikishuka na sasa imefikia 9%

Kwahiyo ni ukweli usiopingika kuwa mshahara umeongezeka kila mwaka baada ya PAYE kupungua to single digit.

Ijumaa kareem.

Maendeleo hayana vyama!
HAZIKUTOSHI.KAMA WEWE SI MTUMISHI KAA KIMYA. 9% YA 250,000 AU 390,000 NI NINI KULINGANISHA NA MFUMUKO WA BEI?
 
Ndio maana mi nashangaa kuna waisilamu kibao hapa tz wameshindwa hata kumuua jiwe kwa albadir kwa damu,uchungu na ugum wa maisha aliosababisha!!!!ndo mana huwa napigwa ban!!
Tofautisha waislamu na wachawi, albadir katika uislamu ni haramu na hairuhusiwi...... Sema tuwalaumu hao wasoma albadir kwanini hawajatuma kipaipai magogoni
 
Wapinzani wamekuwa wakieneza propaganda kwamba serikali haiwajali Watumishi na kwamba haijawaongezea mishahara kwa miaka 5 sasa.

Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home).

Serikali ya awamu ya 5 imetumia njia ya pili ya kuhakikisha mshahara wa kwenda nao nyumbani unaongezeka ndio maana kila mwaka kodi ya Wafanyakazi PAYE imekuwa ikishuka na sasa imefikia 9%

Kwahiyo ni ukweli usiopingika kuwa mshahara umeongezeka kila mwaka baada ya PAYE kupungua to single digit.

Ijumaa kareem.

Maendeleo hayana vyama!
gururuuuu,, bruuuuv , krakrakraakaka.
tratratratataa tratataa tratra trataaa.
paraaa paraparaparaaaaa. tuuuuf tuuuf
paraaaaaaaa
 
Wapinzani wamekuwa wakieneza propaganda kwamba serikali haiwajali Watumishi na kwamba haijawaongezea mishahara kwa miaka 5 sasa.

Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home).

Serikali ya awamu ya 5 imetumia njia ya pili ya kuhakikisha mshahara wa kwenda nao nyumbani unaongezeka ndio maana kila mwaka kodi ya Wafanyakazi PAYE imekuwa ikishuka na sasa imefikia 9%

Kwahiyo ni ukweli usiopingika kuwa mshahara umeongezeka kila mwaka baada ya PAYE kupungua to single digit.

Ijumaa kareem.

Maendeleo hayana vyama!

Ndugu inaelekea hata hujui kwanini watu wanataka nyongeza ya mshahara.....

Ukiongezwa mshahara impact yake ni mpaka huko uzeeni kwake...

Punguzo la kodi lina Short term impacts pekee. Hii ni maana yake ni kuwa utapata kanyongeza kidogo labda kwa shilingi 5,000 na kula na habari yake inaishia hapo....

Nyongeza ya mshahara inaleta matokeo chanya yafuatayo;

å Vivyo hivyo itaongeza Net pay (take home ya mfanyakazi)

å Itaongeza kiwango cha mafao ya mfanyakazi ya mkupuo yaani kiinua mgongo chake baada ya kustaafu

å Itaongeza kiwango cha pensheni yake ya kila mwezi baada ya kustaafu

Hilo punguzo la kodi haliyagusi haya yote (except number 1) kwa sababu tax adjustment haiongezi GROSS PAY (Basic Salary) ya mtumishi ambayo kiukweli ndiyo ya muhimu zaidi na msingi wa calculations zote za mafao yote ya mtumishi.....

Badala yake inamwongezea NET PAY (TAKE HOME) pekee na kidogo sana ambayo atanufaika nayo kwa kula hapo hapo, kila mwezi na habari kuishia hapo....!!

Kwa hiyo mfanyakazi anahitaji vyote viwili; punguzo la PAYE na NYONGEZA YA MSHAHARA kwa wakati mmoja....
 
Bwashee Leo umepuyanga sana.
Ushauri wangu usirudi kwenye huu Uzi maana umeleta hoja ya hovyo Sana.

Shda yenu mnataka kuitetea serikali kwenye Kila Jambo ona sasa mnavyo aibika.
 
Ndugu inaelekea hata hujui kwanini watu wanataka nyongeza ya mshahara.....

Ukiongezwa mshahara impact yake ni mpaka huko uzeeni kwake...

Punguzo la kodi lina Short term impacts pekee. Hii ni maana yake ni kuwa utapata kanyongeza kidogo labda kwa shilingi 5,000 na kula na habari yake inaishia hapo....

Nyongeza ya mshahara inaleta matokeo chanya yafuatayo;

å Vivyo hivyo itaongeza Net pay (take home ya mfanyakazi)

å Itaongeza kiwango cha mafao ya mfanyakazi ya mkupuo yaani kiinua mgongo chake baada ya kustaafu

å Itaongeza kiwango cha pensheni yake ya kila mwezi baada ya kustaafu

Hilo punguzo la kodi haliyagusi haya yote (except number 1) kwa sababu tax adjustment haiongezi GROSS PAY (Basic Salary) ya mtumishi ambayo kiukweli ndiyo ya muhimu zaidi na msingi wa calculations zote za mafao yote ya mtumishi.....

Badala yake inamwongezea NET PAY (TAKE HOME) pekee na kidogo sana ambayo atanufaika nayo kwa kula hapo hapo, kila mwezi na habari kuishia hapo....!!

Kwa hiyo mfanyakazi anahitaji vyote viwili; punguzo la PAYE na NYONGEZA YA MSHAHARA kwa wakati mmoja....
Mkuu @Kitaturu,umeandika vyema sana. Kongole.
Nina ndugu yangu amemaliza shahada ya pili (uzamili) mwaka 2014,mara ya mwisho kupanda daraja ni mwaka 2013,kustaafu kwake ni 2022. Huyu mpaka kustaafu kwake,kama haki ingetendeka,anatakiwa awe amepanda daraja mara ngapi mpaka kustaafu kwake!?
 
Wapinzani wamekuwa wakieneza propaganda kwamba serikali haiwajali Watumishi na kwamba haijawaongezea mishahara kwa miaka 5 sasa.

Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home).

Serikali ya awamu ya 5 imetumia njia ya pili ya kuhakikisha mshahara wa kwenda nao nyumbani unaongezeka ndio maana kila mwaka kodi ya Wafanyakazi PAYE imekuwa ikishuka na sasa imefikia 9%

Kwahiyo ni ukweli usiopingika kuwa mshahara umeongezeka kila mwaka baada ya PAYE kupungua to single digit.

Ijumaa kareem.

Maendeleo hayana vyama!
Asante kwa kutuonesha kiwango bora cha ujinga wako. Keep it fool!! Vitabu husema ewe mtumwa na mjakazi tetea yote afanyayo bwana wako kwanguvu zako zote ili umfurahishe na kukilinda kipato chako... Kwakufanya hayo utakuwa aibu machoni mwa wdai haki na ustawi wa wengi!
 
Utumishi is direct proportional to poverty! Jipambanue jiongeze... Mambo ya kumtegemea mwanaume mwenzako akuongezee mshahara ni umbumbumbu.. umachinga unalipa kuliko uwaziri!
Nyie si ndo mnalipa kodi ya 20,000 kwa mwaka?
Unajisifia kwa kula kodi ?
Unadhani ni sawa watu wote kufanya huo umachinga wako?
 
Wapinzani wamekuwa wakieneza propaganda kwamba serikali haiwajali Watumishi na kwamba haijawaongezea mishahara kwa miaka 5 sasa.

Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home).

Serikali ya awamu ya 5 imetumia njia ya pili ya kuhakikisha mshahara wa kwenda nao nyumbani unaongezeka ndio maana kila mwaka kodi ya Wafanyakazi PAYE imekuwa ikishuka na sasa imefikia 9%

Kwahiyo ni ukweli usiopingika kuwa mshahara umeongezeka kila mwaka baada ya PAYE kupungua to single digit.

Ijumaa kareem.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe ni kichwa maji ndugu, huelewi chochote juu ya nyongeza ya mshahara.

Upiga debe kamwe hautokusaidia, ni bora na ukafyeke shamba ulime, nchi iongeze mapato (mwl Nyerere ideology).

Wewe ni mla jasho la wakulima na wafanyakazi wa nchi hii, wewe ni dalali, na dalali husema chochote alichoagizwa na bwana wake.

Fanya kazi ujiongezee heshima, fanya kazi uinue pato la nchi yako, acha udalali, acha kutumika kama spika. Utatumwa hadi unaingia kaburini.

Watumishi hawawezi kupumua, maisha yamewabana haswa, na maslahi yao ni madogo haswa, muda wanaokaa makazini ni mwingi haswaa.
Kuwa makini
 
Completely your lack of common sense .
Kifupi huu uz ni bastard..

Yani uchukue kidole chako ulambe mavi halafu useme ni maharage.
 
Haahaa hiki Ni kituko cha Mwaka, tangu lini mshahara unaongezeka kwa kuangalia take home tu? Mshahara Ni basic salary kwanza.kiujumla Jpm kawatupa wafanyakazi mbaya.Mbaya zaidi walimu ambayo Ni kada yake mama, wameshindwa hata kupandishwa madaraja.Watumishi wengine vilevile...Yaani unashindwa kuijali fani hata uliyowahi ifanyia kazi duh...
 
(9% kutoka 11% kwahiyo , mwalimu aliyekuwa analipwa Tshs 800,000/- alikuwa anakatwa 88,000/ =
Kwa Awamu hii ya 9% anakatwa 72,000/=.

Hivyo basi SERIKALI YA MAGUFULI IMEONGEZA MSHAHARA KWA Tshs 16,000/-

Tena hiyo 9% inawahusu hao wachini ya milioni moja, zaidi ya hapo wanakatwa kodi.
WABUNGE .:-wao wana mshahara wa zaidi ya milioni 12 na haukatwi hata ndururu alafu unadanganyia watu hapa.

MATAGA mnajivunia mtumishi kuongezewa mshahara wa Tshs 14,000 kwa miaka 5 wakati :

1...sukari imepanda kutoka 1200 mpaka 3500 kilo

2. Umeme umepanda

3. Nauli zimepanda.

4.Kodi ya nyumba zimepanda.

5.Ada za shule zimepanda.

6. Gharama za hospitali zimepanda.
Haahaa halafu kwa miaka mitano duh
 
Adui mkubwa wa Tz ni ujinga! Wakati wa JK watumishi wa umma walipunguziwa kodi kila mwaka na mshahara uliongezwa kila mwaka.
Jk pamoja na mapungufu yake yote aliwajali wafanyakazi sana, alikuwa anapunguza kodi na kupandisha mshahara kila Mwaka, kwa Jpm wako wafanyakazi tangu wameanza kazi wana miaka zaidi ya saba, hakuna kupanda daraja wala nyongeza, mfanyakazi alianza kazi bila familia na sasa ana familia mshahara uleule, ccm inafanya masihara sana na wafanyakazi Wa umma has a kipindi cha Jpm.
 
Katafute hata elimu ya ngumbaru,uewlewa wako hafifu sana.
 
Wapinzani wamekuwa wakieneza propaganda kwamba serikali haiwajali Watumishi na kwamba haijawaongezea mishahara kwa miaka 5 sasa.

Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home).

Serikali ya awamu ya 5 imetumia njia ya pili ya kuhakikisha mshahara wa kwenda nao nyumbani unaongezeka ndio maana kila mwaka kodi ya Wafanyakazi PAYE imekuwa ikishuka na sasa imefikia 9%

Kwahiyo ni ukweli usiopingika kuwa mshahara umeongezeka kila mwaka baada ya PAYE kupungua to single digit.

Ijumaa kareem.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu awali ya yote napenda kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu hii ya tano imefanya na inaendelea kufanya kazi nzuri ambayo watanzania wengi tunaona matunda yake. Tunapozungumzia swala la watumishi waliopo kwenye sekta rasmi ni issue sensitive kwenye maendeleo ya taifa lolote.watumishi wanalalamika tangu 2015 kumekua na sintofahamu juu ya ongezeko la mishahara yao ili waweze kujikimu na kutoka na kupanda kwa gharama za maisha.kupunguza Kodi kutoka 11% - 9% ni best move lkn tungependa serikali ichukue hatua zaidi ili watumishi wetu angalau waweze kumudu gharama za maisha. Note: serikali kulipa watumishi wake mishahara na posho hupelekea mzunguko wa pesa kuongezeka mtaani hivyo hata wale wa kwenye sekta zisizo rasmi hufanya biashara ziende vizuri.
 
Toka waongeze makato ya HESLB to 15% na kuongeza 6% ya deni kila mwaka huwa hata waongee nini siwaelewi. Hawa jamaa hawana tofauti na wakoloni.
Huwezi kumkopesha mwananchi wako akasome halafu umdai kwa riba kama za benki ya kibiashara wakati bado hapo hapo analipa na PAYE.
Huyo aliyetunga na kupitisha hiyo sheria tunamshukuru sana.
 
Back
Top Bottom