Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijitoe akili, yani nyongeza ya 3000 nayo ni hela?Wapinzani wamekuwa wakieneza propaganda kwamba serikali haiwajali Watumishi na kwamba haijawaongezea mishahara kwa miaka 5 sasa.
Hii si kweli, kuna njia mbili za kuongeza mshahara wa mtumishi ikiwa ni kuongeza mshahara ghafi au kuongeza net salary (take home).
Serikali ya awamu ya 5 imetumia njia ya pili ya kuhakikisha mshahara wa kwenda nao nyumbani unaongezeka ndio maana kila mwaka kodi ya Wafanyakazi PAYE imekuwa ikishuka na sasa imefikia 9%
Kwahiyo ni ukweli usiopingika kuwa mshahara umeongezeka kila mwaka baada ya PAYE kupungua to single digit.
Ijumaa kareem.
Maendeleo hayana vyama!