Awamu ya 5 imeongeza mishahara ya Watumishi kwa njia ya kupunguza kodi ya PAYE

Awamu ya 5 imeongeza mishahara ya Watumishi kwa njia ya kupunguza kodi ya PAYE

(9% kutoka 11% kwahiyo , mwalimu aliyekuwa analipwa Tshs 800,000/- alikuwa anakatwa 88,000/ =
Kwa Awamu hii ya 9% anakatwa 72,000/=.

Hivyo basi SERIKALI YA MAGUFULI IMEONGEZA MSHAHARA KWA Tshs 16,000/-

Tena hiyo 9% inawahusu hao wachini ya milioni moja, zaidi ya hapo wanakatwa kodi.
WABUNGE .:-wao wana mshahara wa zaidi ya milioni 12 na haukatwi hata ndururu alafu unadanganyia watu hapa.



MATAGA mnajivunia mtumishi kuongezewa mshahara wa Tshs 14,000 kwa miaka 5 wakati :

1...sukari imepanda kutoka 1200 mpaka 3500 kilo

2. Umeme umepanda

3. Nauli zimepanda.

4.Kodi ya nyumba zimepanda.

5.Ada za shule zimepanda.

6. Gharama za hospitali zimepanda.
 
JK alipunguza PAYE kutoka 18% ya mwaka 2005 hadi 12% mwaka 2015 na bado alikuwa anaongeza mishahara kila mwaka.

Mleta mada huna hoja.

Wafanyakazi wana hasira sana.
 
Option ya kuongeza mishahara watumishi ni mwiba mchungu kwa serikali,maana ni pesa nyingi ingetumika,kupunguza PAYE haitaigharimu serikali compared to PAYE,hapa Mh. anaendelea kubana matumizi huku ile nyongeza tuijuayo na tulioizoea ikiendelea kua ndoto...
 
Ndio maana mi nashangaa kuna waisilamu kibao hapa tz wameshindwa hata kumuua jiwe kwa albadir kwa damu,uchungu na ugum wa maisha aliosababisha!!!!ndo mana huwa napigwa ban!!!!
Hao ni sawa na viongozi wa dini ya Kikristo wamesababisha Hadi dini idharaulike kwa kuwapandisha waouvu madhabauni wamdhihaki Mungu sababu wanahongwa,wanaacha kukemea udhalimu na uovu sawa na wenzao walivofanya Karne na Karne wanaenda kuwa kuni za motoni.
Mfuasi halisi wa Kristo ukemea dhambi na uovu ili Jamii ipone.
Dawa ya mtu muovu ni kumtenga ili ajutie uovu wake.Kushikamana na mtu muovu hawezi ona uovu wake na kuacha uovu wake.
 
Option ya kuongeza mishahara watumishi ni mwiba mchungu kwa serikali,maana ni pesa nyingi ingetumika,kupunguza PAYE haitaigharimu serikali compared to PAYE,hapa Mh. anaendelea kubana matumizi huku ile nyongeza tuijuayo na tulioizoea ikiendelea kua ndoto...
Hana uwezo huo,alisomesha watu namba akidhani anawakomoa kumbe anajikomoa kwa kushuka kwa makusanyo.
Watumishi wajiandae tu kukopwa
 
Hakuna nyongeza hapo, kuna punguzo la Kodi. Kumbuka, ukubwa wa mshahara wako wa mwisho una maana kubwa katika kukokotoa kiwango cha hela yako ya kustaafu, kwa hiyo usipoongezewa basic salary, utapata kiwango kidogo tu, maana inayoangaliwa ni basic salary wakati unastaafu na sio take home!
 
Hiyo 9% ni kwa wanaolipwa chini ya 400,000 kama sikosei
 
Shemeji yako ndio alivyokudanganya. Watu mnaokaa kwa dada zenu hamli hadi dada zenu wanyanduliwe mnakuwa mafala sana.
#ACHA KUTUMIA MAKALIO KUFANYA KAZI YA KICHWA.
Hii mijitu inalala sebuleni mwa shemeji zao, usiku wanaona tu dada zao wanavyokwenda chooni baada ya kupigwa bao na ma-shem zao, haijui maisha, eti mishahara imepanda, pumb***
 
Inaelekea haufahamu ulichokitarajia kiwe hoja yako ya msingi.PAYE ya 9% ni kwa KCC na ilianza kutumika enzi za JK.Kuisifia serikali hii ni kazi ngumu sana, na kwa bahati mbaya wasifiaji hawana data au wanasahau vitu kirahisi sana.
 
Hahahahah ,,na nawambie hizi ndizo Propaganda mzifanyazo,,,Miaka 5,, ongezeko katika MSHAHARA wangu wa mwaka 2015 ni tsh 7000, Miaka 5,,,,,NAMKUMBUKA KIKWETA MARA YA MWISHO ALIONGEZA 53,000 kwenye take home,
 
Inaelekea haufahamu ulichokitarajia kiwe hoja yako ya msingi.PAYE ya 9% ni kwa KCC na ilianza kutumika enzi za JK.Kuisifia serikali hii ni kazi ngumu sana, na kwa bahati mbaya wasifiaji hawana data au wanasahau vitu kirahisi sana.
WAsifiaji ni wale waliofeli form four wamekusanywa na Gwajima na genge laki la WAPWA kusifia kila kitu
 
1 nina hakika wewe sio mtumishi wa umma hivyo hauna unacho kifahamu

2 hakuna mtimishi wa umma aliepongeza kwa " dhati " hicho ulicho kiongea kwasababu watumishi wa wanahitaji nyongeza ya mshahara na si pungozo la kodi

3 je unajua nikiasi gani kimeongezeka katika mishahara ya wafanyakazi?

wakati mwengine ni bora kukaa kimya kuliko kuongea vitu usivyovielewa
Hiyo statement si ya kweli ukicheki salary slip. Utamwambia usipotoshe umma hakuna aliyeongezwa
 
Back
Top Bottom