kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Nilikua bado nina shaka kama kweli uongozi wa mama unarudisha wahuni na wapigaji wa awamu ya nne ila matokeo ya chaguzi za CCM zinazoendelea ndio zimenitoa shaka.
Kwa mfano uchaguzi wa Karamagi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera ndio umenimaliza nguvu.
Hakika wahuni wamerudi 2025 sijui nguvu gani kama sio umma itaweza kuwarejesha wanamapinduzi kushika dola.