Hahahaha....Hii nchi hupaswi ionea huruma
Ukipata upenyo shiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha....Hii nchi hupaswi ionea huruma
Ukipata upenyo shiba
Wacha wajipange, Mungu naye anapanga yake.Chuma, baba, jiwe, jpm kazi uliyofanya imesalitiwa. Fisadi wanarejea tena kwa hasira kushika chama cha mapinfuzi CCM.
Itakua kuwapindua wavuja jasho wazidi umia.
Si ndio kwa Gachuma? Au unamaanisha Geita?Yule PhD feki wa mwanza sijui kama uchaguzi tayari huko😂
Kweli wamegoma.hahaha,wastaafu wamegoma kustaafu
Nani mwenye akili za kawaida anaweza kuwa tajiri? Ukiona mtu ni tajiri jua ana akili Sana. Wewe ambaye huna hela ndo huna akiliHii nchi inaendeshwa na watu wenye akili za kawaida sana.
Nchi imelaaniwa hiiHalafu tunataka Train ya umeme wakati umeme nchi nzima ni mgao
Maana sisi wananchi ni mazuzuNani mwenye akili za kawaida anaweza kuwa tajiri? Ukiona mtu ni tajiri jua ana akili Sana. Wewe ambaye huna hela ndo huna akili
Ukijua jinsi alivyopatikana Mama utajua ni kwanini wanarudiNilikua bado nina shaka kama kweli uongozi wa mama unarudisha wahuni na wapigaji wa awamu ya nne ila matokeo ya chaguzi za CCM zinazoendelea ndio zimenitoa shaka.
Duh !!Karamagi ,kagera
kimbisa,dodoma
mtemvu,dar
gachuma ,mwanza
Hata LOWASSA wangemrudisha tuanze UpyaNilikua bado nina shaka kama kweli uongozi wa mama unarudisha wahuni na wapigaji wa awamu ya nne ila matokeo ya chaguzi za CCM zinazoendelea ndio zimenitoa shaka.
Kwa mfano uchaguzi wa Karamagi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera ndio umenimaliza nguvu.
Hakika wahuni wamerudi 2025 sijui nguvu gani kama sio umma itaweza kuwarejesha wanamapinduzi kushika dola.
Mmmmmh.. kwenu akiliNani mwenye akili za kawaida anaweza kuwa tajiri? Ukiona mtu ni tajiri jua ana akili Sana. Wewe ambaye huna hela ndo huna akili