Awamu ya nne viongozi wa CCM wanarudi kazi ya ufisadi iendelee

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,892
Reaction score
7,780
Nilikua bado nina shaka kama kweli uongozi wa mama unarudisha wahuni na wapigaji wa awamu ya nne ila matokeo ya chaguzi za CCM zinazoendelea ndio zimenitoa shaka.

Kwa mfano uchaguzi wa Karamagi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera ndio umenimaliza nguvu.

Hakika wahuni wamerudi 2025 sijui nguvu gani kama sio umma itaweza kuwarejesha wanamapinduzi kushika dola.
 
Halafu tunataka Train ya umeme wakati umeme nchi nzima ni mgao
 
Walamba asali back in Town.

Kimbisa Kimbisa Usain Bolt nipo nyota ya mchezo center half.
 
Hii nchi hupaswi ionea huruma
Ukipata upenyo shiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…