kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 119
- 240
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu imejipanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao barani Afrika, Serikali imeanza kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA). Dira ya serikali ni kuifanya Tanzania kuwa kinara katika uchumi wa kidijitali, na inachukua hatua zinazohitajika ili hilo liwe kweli.
Kukua kwa biashara kutasaidia vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa kutumia fursa hiyo kujiajiri, kukuza kipato chao na kukuza pato la nchi na uchumi wa nchi.
Kukua kwa biashara kutasaidia vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa kutumia fursa hiyo kujiajiri, kukuza kipato chao na kukuza pato la nchi na uchumi wa nchi.