Serikali awamu ya sita mmeeleweka vyema. Mko kwa maslahi yenu zaidi. Mnajiwakilisha wenyewe:
Ninyi ni serikali ya walamba asali.
Kwa kututelekeza na hili la mafuta kama ya lile la madhara ya Corona, wala msijisumbue kutafuta mitano mingine.
Mlikotufikisha tambueni kuwa mtavuna mnayopanda.
Na huo ndiyo ulio ukweli mchungu.