Awamu ya sita mnajiwakilisha walamba asali

Awamu ya sita mnajiwakilisha walamba asali

Mkuu hizi ni bei za Aprili. Za Mei hazijatolewa. Tutarajie kutolewa tarehe 9 Mei, 2022 halafu tuone ni asali ya Tabora, Rukwa, au Pemba. Muda utatuambia.
Tunaongelea bei za sasa hivi kwenye pump mkuu. Si ndiyo hizi zilizopo?
 
Ukisikia kelele hasa mitandaoni ndo mjue asali imekolea kule ndani ni mwendo wa kulamba na kulambishana
 
Back
Top Bottom