mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
🤣🤣🤣,Kweli Sasahivi watanganyika tunacheza wimbo tusiojua biti yake, mpaka 2025 kuna watu wataokota makopo.Tumsifu Yesu Kristo Milele Amina! View attachment 2215015
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣,Kweli Sasahivi watanganyika tunacheza wimbo tusiojua biti yake, mpaka 2025 kuna watu wataokota makopo.Tumsifu Yesu Kristo Milele Amina! View attachment 2215015
Zanzibar bado inatumia akiba yake ya mafuta yaliagizwa kabla ya kadhia ya mafuta. Kumbuka watumiaji wa mafuta Zanzibar ni wachache sana kutokana na population yake kuwa ndogoZanzibar sio duniani mbona bei ya mafuta IPO Chini Sana kulinganisha na Bara?
Wewe utake usitake; 2030 tunaenda na Mwinyi.Acheni wafu wapumzike, labda muwatumie kama mizimu ikiwa mnaamini hivyo…. hawawezi kutuchagulia kiongozi.
Wewe utake usitake; 2030 tunaenda na Mwinyi.
Sukuma Gang.Wewe na nani?
Wewe utake usitake; 2030 tunaenda na Mwinyi.
Hata 2030 tutaenda na Mzenji boss, Mwinyi anatosha.2040, 2050, 2060, ... mtake M Zenji kijiti zimefika. Covid kawakomboa. Wameokota dodo chini ya mnazi.
Hata 2030 tutaenda na Mzenji boss, Mwinyi anatosha.
Inategemea unaangalia kwa angle ipi.Si ndiyo maana kamili ya kijiti kutua nyumbani kwao?
Kauli ilitolewa na Babake baada ya Kuona Mwanae anavyolamba Asali ndani Ya Wizara Ya NishatiMagufuli pmj na makorona yale mafuta hayakupanda bei
Tukubali tu watu wanalamba asali
Hakuna angle hapo wala nini. Zenji walihitaji kijiti nyumbani, tokea kitue huko March 2021 wakuachie vipi kulamba asali?Inategemea unaangalia kwa angle ipi.
Sisi tunamtaka Mwinyi: si ni Mtanzania?Hakuna angle hapo wala nini. Zenji walihitaji kijiti nyumbani, tokea kitue huko March 2021 wakuachie vipi kulamba asali?
Endeleeni kujifariji ila kijiti hakirudi bara. Mengine yote ni kuishi kwa matumaini.Sisi tunamtaka Mwinyi: si ni Mtanzania?
Mbona unatulazimisha?Endeleeni kujifariji ila kijiti hakirudi bara. Mengine yote ni kuishi kwa matumaini.
Unalazimishwa? Mzigo mzito siyo kuwa hukabidhiwa ninyi?Mbona unatulazimisha?
Walamba asali ndio wanaohesabu kura na kuzilinda na kutangaza mshindi. Utawatisha nini wewe. Jifarijini na kauhuru wa maoni humu jf.Serikali awamu ya sita mmeeleweka vyema. Mko kwa maslahi yenu zaidi. Mnajiwakilisha wenyewe:
View attachment 2214958
Ninyi ni serikali ya walamba asali.
Kwa kututelekeza na hili la mafuta kama ya lile la madhara ya Corona, wala msijisumbue kutafuta mitano mingine.
Mlikotufikisha tambueni kuwa mtavuna mnayopanda.
Na huo ndiyo ulio ukweli mchungu.
Mafuta sawa. Na vingine je?Bei ya mafuta ni moja duniani kote. Kwahiyo kumlaumu rais ni uchovu wa kufikiri
Mkuu hizi ni bei za Aprili. Za Mei hazijatolewa. Tutarajie kutolewa tarehe 9 Mei, 2022 halafu tuone ni asali ya Tabora, Rukwa, au Pemba. Muda utatuambia.Pa kuhamia ni Zenji mkuu. Mbona kina Zawadini 70km away, wao wanalamba asali?
View attachment 2215130