Awamu ya sita mnajiwakilisha walamba asali

Awamu ya sita mnajiwakilisha walamba asali

these people are TIRED alijisemea Msigwa…
Msigwa huyuhuyu aliyeko mbioni kuunga mkono juhudi au ni kuna mwingine? Achana na kitu inaitwa njaa, leo ukimuuliza anaweza kana kauli yake.
 
Unadhani kujenga uchumi ni sawa na kupiga nyeto!!!...yule mtu wenu ana sehemu nzuri motoni
Akili ndogo bwana, ukimbiwa uthibitishe habari za uwepo wa huo moto huwezi, zaidi ya kuja na story za kukaririshwa makanisani.

Huyu kigagula wenu ndio anaejenga uchumi sio? Au ndo na yeye anipiga nyeto huko ikulu??
 
Kelele za Katiba Mpya hasa ile rasimu ya Warioba wakati huu ndio zinatakiwa ziongezeke mpaka zipasue ngoma za masikio yao, na sio kuamini kauli zao za kuhadaa watu kwamba wataanza process hiyo ambayo haijulikani itaanza lini.
 
Mbona kipindi cha Corona machinga wengi walijenga nyumba..

Kumbuka kipindi cha yule bwana ilikuwa kwa walicho nacho kuishi kama mashetani.

Usisahau mwathirika mkuu wa Corona alikuwa mfanya biashara mkubwa ambaye kwake kodi iliendelea kuongezwa bila kujali biashara zilikuwapo au la.

Kesi ya mfano ni biashara kuvuka mipaka ya nchi ambako biashara zilikoma.
 
Akili ndogo bwana, ukimbiwa uthibitishe habari za uwepo wa huo moto huwezi, zaidi ya kuja na story za kukaririshwa makanisani.

Huyu kigagula wenu ndio anaejenga uchumi sio? Au ndo na yeye anipiga nyeto huko ikulu??

Huyu na yule wote baba mmoja mama mmoja.

Yule wakati nchi zingine zikitambua uwepo wa Corona na kudorora kwa uchumi wa watu dunia nzima, yeye kodi zilikuwa pale pale kana kwamba watanzania hawakuathirika kabisa. Yule alitutelekezea gonjwa na madhila yake. Bahati yake bei ya mafuta ikaanguka sana.

Huyu alipopewa pesa za kupunguza makali ya covid akaenda kujenga vyoo.

Huyu leo naye madhara ya vita vya Ukraine katutelekezea sisi. Kupanda kwa bei za dhahabu, tanzanite nk zetu wala haongelei bali bei ya mafuta.

Nini tofauti zao wawili hawa wakati wote wawilimajanga hayawahusu bali wao kuendelea kulamba asali?
 
Zamu yenu wanyonge imeisha. Kama hauwezi kuhimili maisha ya Tanzania hamia Burundi. Kuimba kupokezana. 😂

Pa kuhamia ni Zenji mkuu. Mbona kina Zawadini 70km away, wao wanalamba asali?

IMG_20220507_124955_574.jpg
 
Mwendawazimu hayupo kwasasa, hebu tuangalie namna ambayo huyu kigagula anafanya kazi.

Binafsi naona ni bora ya mwendawazimu kuliko huyu kigagula.
Bei ya mafuta ni moja duniani kote. Kwahiyo kumlaumu rais ni uchovu wa kufikiri
 
Bei ya mafuta ni moja duniani kote. Kwahiyo kumlaumu rais ni uchovu wa kufikiri

Bei ya kununulia ni moja lakini si ya kuuzia.

IMG_20220507_124955_574.jpg


Kwenye hilo rais wa nchi anawajibika moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom