Awamu ya Tano nchi ilijengwa zaidi upande mmoja

Awamu ya Tano nchi ilijengwa zaidi upande mmoja

Miradi itatufaa Nini sisi hatutaki maendeleo ya vitu Bali watu na watu walioendelea Ni wa Kilimanjaro huko ndiko kulipaswa kuwa makao makuu ya nchi ikizingatiwa Kuna mlima mrefu kuliko yote.

..tumepoteza fedha kuwekeza ktk ujenzi wa maofisi na majumba ya viongozi.

..tulipaswa kuwekeza ktk miradi inayogusa wananchi wa kawaida, wakulima na wafugaji wa Dodoma.

..kwa mfano, mradi wa kuendeleza kilimo cha ZABIBU una faida kwa mkulima wa Dodoma kuliko ujenzi wa Ikulu ya kifahari Chamwino.

..Dodoma pia kuna mbegu nzuri ya ng'ombe aina ya Kongwa. Serikali ingewekeza ktk mbegu hiyo ili wafugaji wa Dodoma wawe wazalishaji na wasambazaji wa mbegu hiyo Tanzania na nchi za jirani.

..Naamini hizo ndizo njia za kuwainua wananchi wa Dodoma, au sehemu nyingine yoyote iliyosahaulika kimaendeleo hapa Tz.
 
Back
Top Bottom