Awamu ya tano inatengeneza uchumi ambao watoto na wajukuu wako watautimia
Tatizo wabongo mnapenda spoon feed
Hata hivyo ukumbukuke madawa ya kulevya hayapo tena mtaani
Mafisadi hayapo Tena Ndio maana unaona pesa haipo mtaani
Ukifanya kazi pesa ipo ila km unakaa kwa dada kula kulala pole
Sent using
Jamii Forums mobile app
[/QU. mkuu Kwa hii miradi ya white elephant?? Weka hii akilini atamaliza 10 years bila kukamilisha stiglers, standard gauge,,,wala hivyo viwanda ,,,,mindege ndo Isha proove failure kabla hata haijaanza