Labda alikuwa mwl wake akiwa fieldEti jamaa alikuwa anafundisha watoto wetu Kama mwalimu,si umemuona Kangi? Eti Ni mwanafunzi wake

Hakuna namna ya kuliondoa hili dude kwenye reli ?I agree...
ilikua kama Gold ...
Now muda umepita tumejua ni Gold feki..
Bahati mbaya tunalo hili kwa kipindi kingine….
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mabundi yetu yametumika kutuletea wageni wenye corona
Mungu na Pombe havipatani hata kdogo.Palipo na Pombe Mungu hayupo palipo na Mungu Pombe haipo.Mpka sasa bar zote zipo wazi mtaomba mpka mchanganyikiwe.
Kama awamu ya tano iliweza kuchukuwa hela za michango kwenye majanga yaliyowatokea raia, na mimi nasema awamu ya tano ni moja ya Taasisi fisadi sana!Awamu ya tano inatengeneza uchumi ambao watoto na wajukuu wako watautimia
Tatizo wabongo mnapenda spoon feed
Hata hivyo ukumbukuke madawa ya kulevya hayapo tena mtaani
Mafisadi hayapo Tena Ndio maana unaona pesa haipo mtaani
Ukifanya kazi pesa ipo ila km unakaa kwa dada kula kulala pole
Sent using Jamii Forums mobile app
Awamu za 1 - 4 wao walishughulikiaje tatizo la Corona?Kimsingi kila mtu hufanya makosa hakuna binadamu mkamilifu. Lakini unapofanya Makosa ambayo wenzio tayari wameyafanya na ungeweza kuyaepuka hapo ndipo tunasema awamu hii imekosa weredi, zaidi sana inatumia nguvu kubwa kuliko Akili.
Wakati Rais Donald Trump akililaumu shirika la Afya Duniani WHO kwamba hawakutoa taarifa sahihi kuhusu Athari za ugonjwa wa Corona na hatimaye kuondoa ufadhili kwa shirika hilo. Rais wa Tanzania yeye anahamasisha watu wafanye mikusanyiko isiyo ya lazima eti wakafanye maombi.
Rais ameshindwa kuchukua hatua stahiki kulinda uhai wa wanachi wake. Wagonjwa wanazidi kuongezeka toka mgonjwa mmoja mpka 148 haoni kwamba Maombi hayasaidii. Viongozi wa Dini wenye Akili wameng'amua kuwa sasa hatuna uongozi wameanza kuchukua hatua kulinda waumini wao kwa kufunga shughuli za lbada.
Hivi unakuwa na Akili zako timamu unaenda kufanya Maombi kuondoa Corona ? Malaria inaongoza kwa kuua watu kuliko Ukimwi mbona hamfungi na kuomba ili malaria iondoke ? Basi tukimaliza Maombi haya tuanze Maombi mengine ya kuondoa Mabusha, Kansa, Kipindu pindu na homa ya Ini. Kweli Biblia inasema watu wanaangamia kwa kukosa Maarifa.
Rais mstaafu J.Kikwete alimuonya kutotegemea Polisi kufanya Siasa maana watanzania wameichoka CCM. Rais Mstaafu B. Mkapa pia alimueleza bwana yule kuwa ktk vitu anavyo jutia ni kutumia vibaya Polisi na kuua raia wasio na hatia huko Zanzibar.
Lakini sikio la kufa halisikii Dawa bwana yule ndo sasa anatumia mabunduki kuvurumisha ktk majumba ya watu wanao mkosoa. Hana kabisa hoja shawishi wala plani kiutawala. Watu kupotea, kutekwa kuteswa na kuuawa vimekithiri.
Yaani mpaka wakenya sasa hivi wanatusaidia ktk mtandao wa twita kumkosoa bwana yule kwa udikteta wake. Wakenya wakisha mnanga bwana yule humalizia na kamsemo kao "Ukaidi wa Jiwe"
Cc. Mataga
Nimefuatilia post zako nyingi sana hutumii akili, sijui ni makusudi au kuna kitu kinamiss kichwani. Uchumi gani unaouzungumzia? Hata kuajiri tu ameshindwa, atapata wapi akili ya kujenga uchumi!?Awamu ya tano inatengeneza uchumi ambao watoto na wajukuu wako watautimia
Tatizo wabongo mnapenda spoon feed
Hata hivyo ukumbukuke madawa ya kulevya hayapo tena mtaani
Mafisadi hayapo Tena Ndio maana unaona pesa haipo mtaani
Ukifanya kazi pesa ipo ila km unakaa kwa dada kula kulala pole
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku akitoa hilo tamko wananchi tutafurahi sana na tunaji lockdown kwa hiarimwacheni rais wetu apumzike huku akifikiria cha kufanya labda huenda akatangaza kutogombea na akastaafu siasa
Tutakuwa wajinga wa kiwango cha SGR,labda hizi robots zisizojielewa zinazoitwa police ndo zimsaidie,police wa nchi ile tu ndo anaona kutii amri ni muhimu zaidi ya maisha yake na ndugu zakeI agree...
ilikua kama Gold ...
Now muda umepita tumejua ni Gold feki..
Bahati mbaya tunalo hili kwa kipindi kingine….
jaribu kuwaza zaidi ya hapa mkuu,ulitaka wafanye vp kazi wakati mikutano na vikao vyao huwa wanazuiliwa?BAVICHA mnatukwamisha kimaendeleo. Kama mngechapa Nazi kama wanaCCM maisha yangekuwa murua kabisa
Ukweli ni kwamba huyu mtu hana nia njema na watu wa taifa hili. Anapenda kuona watu wanataabika. Kila anachofanya ni kutekeleza sera yake ya "Expect No Mercy". Haguswi na usalama/uhai wa raia.Kimsingi kila mtu hufanya makosa hakuna binadamu mkamilifu. Lakini unapofanya Makosa ambayo wenzio tayari wameyafanya na ungeweza kuyaepuka hapo ndipo tunasema awamu hii imekosa weredi, zaidi sana inatumia nguvu kubwa kuliko Akili.
Wakati Rais Donald Trump akililaumu shirika la Afya Duniani WHO kwamba hawakutoa taarifa sahihi kuhusu Athari za ugonjwa wa Corona na hatimaye kuondoa ufadhili kwa shirika hilo. Rais wa Tanzania yeye anahamasisha watu wafanye mikusanyiko isiyo ya lazima eti wakafanye maombi.
Rais ameshindwa kuchukua hatua stahiki kulinda uhai wa wanachi wake. Wagonjwa wanazidi kuongezeka toka mgonjwa mmoja mpka 148 haoni kwamba Maombi hayasaidii. Viongozi wa Dini wenye Akili wameng'amua kuwa sasa hatuna uongozi wameanza kuchukua hatua kulinda waumini wao kwa kufunga shughuli za lbada.
Hivi unakuwa na Akili zako timamu unaenda kufanya Maombi kuondoa Corona ? Malaria inaongoza kwa kuua watu kuliko Ukimwi mbona hamfungi na kuomba ili malaria iondoke ? Basi tukimaliza Maombi haya tuanze Maombi mengine ya kuondoa Mabusha, Kansa, Kipindu pindu na homa ya Ini. Kweli Biblia inasema watu wanaangamia kwa kukosa Maarifa.
Rais mstaafu J.Kikwete alimuonya kutotegemea Polisi kufanya Siasa maana watanzania wameichoka CCM. Rais Mstaafu B. Mkapa pia alimueleza bwana yule kuwa ktk vitu anavyo jutia ni kutumia vibaya Polisi na kuua raia wasio na hatia huko Zanzibar.
Lakini sikio la kufa halisikii Dawa bwana yule ndo sasa anatumia mabunduki kuvurumisha ktk majumba ya watu wanao mkosoa. Hana kabisa hoja shawishi wala plani kiutawala. Watu kupotea, kutekwa kuteswa na kuuawa vimekithiri.
Yaani mpaka wakenya sasa hivi wanatusaidia ktk mtandao wa twita kumkosoa bwana yule kwa udikteta wake. Wakenya wakisha mnanga bwana yule humalizia na kamsemo kao "Ukaidi wa Jiwe"
Cc. Mataga
Mabundi yetu yametumika kutuletea wageni wenye corona
Kimsingi kila mtu hufanya makosa hakuna binadamu mkamilifu. Lakini unapofanya Makosa ambayo wenzio tayari wameyafanya na ungeweza kuyaepuka hapo ndipo tunasema awamu hii imekosa weredi, zaidi sana inatumia nguvu kubwa kuliko Akili.