Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,168
Yeye mwenyewe hajielewiNamtafakari Magufuli sipati majibu..
Yani simuelewi kabisaa
Kimsingi kila mtu hufanya makosa hakuna binadamu mkamilifu. Lakini unapofanya Makosa ambayo wenzio tayari wameyafanya na ungeweza kuyaepuka hapo ndipo tunasema awamu hii imekosa weredi, zaidi sana inatumia nguvu kubwa kuliko Akili.
Wakati Rais Donald Trump akililaumu shirika la Afya Duniani WHO kwamba hawakutoa taarifa sahihi kuhusu Athari za ugonjwa wa Corona na hatimaye kuondoa ufadhili kwa shirika hilo. Rais wa Tanzania yeye anahamasisha watu wafanye mikusanyiko isiyo ya lazima eti wakafanye maombi.
Rais ameshindwa kuchukua hatua stahiki kulinda uhai wa wanachi wake. Wagonjwa wanazidi kuongezeka toka mgonjwa mmoja mpka 148 haoni kwamba Maombi hayasaidii. Viongozi wa Dini wenye Akili wameng'amua kuwa sasa hatuna uongozi wameanza kuchukua hatua kulinda waumini wao kwa kufunga shughuli za lbada.
Hivi unakuwa na Akili zako timamu unaenda kufanya Maombi kuondoa Corona ? Malaria inaongoza kwa kuua watu kuliko Ukimwi mbona hamfungi na kuomba ili malaria iondoke ? Basi tukimaliza Maombi haya tuanze Maombi mengine ya kuondoa Mabusha, Kansa, Kipindu pindu na homa ya Ini. Kweli Biblia inasema watu wanaangamia kwa kukosa Maarifa.
Rais mstaafu J.Kikwete alimuonya kutotegemea Polisi kufanya Siasa maana watanzania wameichoka CCM. Rais Mstaafu B. Mkapa pia alimueleza bwana yule kuwa ktk vitu anavyo jutia ni kutumia vibaya Polisi na kuua raia wasio na hatia huko Zanzibar.
Lakini sikio la kufa halisikii Dawa bwana yule ndo sasa anatumia mabunduki kuvurumisha ktk majumba ya watu wanao mkosoa. Hana kabisa hoja shawishi wala plani kiutawala. Watu kupotea, kutekwa kuteswa na kuuawa vimekithiri.
Yaani mpaka wakenya sasa hivi wanatusaidia ktk mtandao wa twita kumkosoa bwana yule kwa udikteta wake. Wakenya wakisha mnanga bwana yule humalizia na kamsemo kao "Ukaidi wa Jiwe"
Cc. Mataga
Oooh tuna hela za kuilisha nchi miezi 6 bila kufanya kazi. Tangaza lockdown sasa uwalishe wananchi wako. Vifaa tiba tu vya wahudumu wa afya vimekushinda. Huna unaloliweza zaidi ya kununua wapinzani na kuwapiga risasi na mapanga wanaokupinga. Haya maombi ya siku 3 uliyoyatangaza ni ya kuchochea moto utakaokuchoma wewe na hao wauaji wenzako wa kijani. RIP.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa watakaosalia na hili janga ni kwamba Corona inaondoka ba CCM.
Unaringanishaje athari za kiuchumi na roho za watu wako!! Uchumi unaweza kuwa repaired hata kwa miaka 20, rojo za watu je?
Lockdown watu wako...kopa pesa toka mataifa makubwa mabenki ya kidunia utapewa tu, wape chakula watu wako kwa walau miezi mitatu....
Haya yote kwa sasa ni too late!! gonjwa lishasambaa!!
Jack ma si kazitoa bure kwann tuuziweWakati huo huo wanashindwa kununua barakoa hata million moja tu
Ugonjwa umekuja kuumbua madikteta,Naunga hoja kwa miguu na mikono hilo yani kuna kiongozi mmoja alisema kuwa TANZANIA Tunaweza kujiendesha wenyewe bila kutegemea misaada ya nchi zingine daaaaah hakika nilisikitika saba yani vifaa vyenyewe mahospitalini havipo mnakataa kusaidiwa
Ona sasa Tanzania inavyohangaika na huu ugonjwa ambao ndiyo kwanza umeanza wanaanza kutangaza maombi ya siku 3 hii hata haikai akilini yanu mimi na familia yangu niombee TANZANIA ambayo ilikuwa inajitapa kuwa inaweza kujiendesha bila msaada wa mataifa mengine
Sasa hizo ndege zenu na fly over mara sijui standard gauge mlizokuwa mnatusumbua kila kukicha uzinduzi wazifanye ziwe Quarantine sasa
Tanzania inabidi haya maombi ya siku 3 yaliyotolewa tungeyageuza kuwa ya kumshukuru Mungu imeanzia huku kwa watu wenye utaalamu wao maana ingeanzia huku hakika naapa tungekufa kama kuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Awamu hii ni sawa na kiwanda cha kuzalisha umasikini nchini badala ya kupambana na tatizo la ajira eti wanapambana na Mbowe utadhani shida za watz ni sababu ya uwepo wa mboweAwamu ya hovyo kuliko zote zilizowahi kutawala duniani
Mmejikwamisha wenyewe msitafute mchawi.badala ya kupambana na ufisadi, tatizo la ajira, njaa na kilimo kutwa kucha mmewekeza kumshughulikia mbowe kuliko shida zetuBAVICHA mnatukwamisha kimaendeleo. Kama mngechapa Nazi kama wanaCCM maisha yangekuwa murua kabisa
Eti anamuenzi Nyerere unaenzi vitu ambavyo ni outdated vilifaa kwa zama zile za Giza.Nyrre aliishi dunia yake ambayo haifanani kabisa kwa dunia ya Sasa.Nyerere alizifungia akili za watu kwenye box kwa maana hakutaka kabisa yeyeto afikiri kumzidi utajikuta uko karantini uruhusiwi kutembea bila ruhusa ya mwenyekiti wa Kijiji.Huu ulimwengu wa Sasa umebadilika kila kitu kizazi cha sasa kina global vision sio kile kilichofungiwa akili kwenye box.Kumuenzi Nyerere ni sawa na kutumia record player kwenye ulimwengu wa Sasa wa itune na YouTubeKimsingi kila mtu hufanya makosa hakuna binadamu mkamilifu. Lakini unapofanya Makosa ambayo wenzio tayari wameyafanya na ungeweza kuyaepuka hapo ndipo tunasema awamu hii imekosa weredi, zaidi sana inatumia nguvu kubwa kuliko Akili.
Wakati Rais Donald Trump akililaumu shirika la Afya Duniani WHO kwamba hawakutoa taarifa sahihi kuhusu Athari za ugonjwa wa Corona na hatimaye kuondoa ufadhili kwa shirika hilo. Rais wa Tanzania yeye anahamasisha watu wafanye mikusanyiko isiyo ya lazima eti wakafanye maombi.
Rais ameshindwa kuchukua hatua stahiki kulinda uhai wa wanachi wake. Wagonjwa wanazidi kuongezeka toka mgonjwa mmoja mpka 148 haoni kwamba Maombi hayasaidii. Viongozi wa Dini wenye Akili wameng'amua kuwa sasa hatuna uongozi wameanza kuchukua hatua kulinda waumini wao kwa kufunga shughuli za lbada.
Hivi unakuwa na Akili zako timamu unaenda kufanya Maombi kuondoa Corona ? Malaria inaongoza kwa kuua watu kuliko Ukimwi mbona hamfungi na kuomba ili malaria iondoke ? Basi tukimaliza Maombi haya tuanze Maombi mengine ya kuondoa Mabusha, Kansa, Kipindu pindu na homa ya Ini. Kweli Biblia inasema watu wanaangamia kwa kukosa Maarifa.
Rais mstaafu J.Kikwete alimuonya kutotegemea Polisi kufanya Siasa maana watanzania wameichoka CCM. Rais Mstaafu B. Mkapa pia alimueleza bwana yule kuwa ktk vitu anavyo jutia ni kutumia vibaya Polisi na kuua raia wasio na hatia huko Zanzibar.
Lakini sikio la kufa halisikii Dawa bwana yule ndo sasa anatumia mabunduki kuvurumisha ktk majumba ya watu wanao mkosoa. Hana kabisa hoja shawishi wala plani kiutawala. Watu kupotea, kutekwa kuteswa na kuuawa vimekithiri.
Yaani mpaka wakenya sasa hivi wanatusaidia ktk mtandao wa twita kumkosoa bwana yule kwa udikteta wake. Wakenya wakisha mnanga bwana yule humalizia na kamsemo kao "Ukaidi wa Jiwe"
Cc. Mataga
Uchumi upi usio na ground, huwezi Jenga uchumi kwa kusomesha watu namba.Ufisadi unaousema nenda kapanguse vumbi mahakama ya mafisadi iliyokufa kibudu baada ya kugundua ccm wote wangeishia kule.Mlimtimua Assad uzuri namba hazijifichi aliyopo nae kawaumbua sijui mtamtumia wasiojulikana.Awamu ya tano inatengeneza uchumi ambao watoto na wajukuu wako watautimia
Tatizo wabongo mnapenda spoon feed
Hata hivyo ukumbukuke madawa ya kulevya hayapo tena mtaani
Mafisadi hayapo Tena Ndio maana unaona pesa haipo mtaani
Ukifanya kazi pesa ipo ila km unakaa kwa dada kula kulala pole
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma kichwa cha habari tu lakini naunga mkono hoja yako! Ni ya hovyo pengine kuliko zote zitakazofuata!Kimsingi kila mtu hufanya makosa hakuna binadamu mkamilifu. Lakini unapofanya Makosa ambayo wenzio tayari wameyafanya na ungeweza kuyaepuka hapo ndipo tunasema awamu hii imekosa weredi, zaidi sana inatumia nguvu kubwa kuliko Akili.
Wakati Rais Donald Trump akililaumu shirika la Afya Duniani WHO kwamba hawakutoa taarifa sahihi kuhusu Athari za ugonjwa wa Corona na hatimaye kuondoa ufadhili kwa shirika hilo. Rais wa Tanzania yeye anahamasisha watu wafanye mikusanyiko isiyo ya lazima eti wakafanye maombi.
Rais ameshindwa kuchukua hatua stahiki kulinda uhai wa wanachi wake. Wagonjwa wanazidi kuongezeka toka mgonjwa mmoja mpka 148 haoni kwamba Maombi hayasaidii. Viongozi wa Dini wenye Akili wameng'amua kuwa sasa hatuna uongozi wameanza kuchukua hatua kulinda waumini wao kwa kufunga shughuli za lbada.
Hivi unakuwa na Akili zako timamu unaenda kufanya Maombi kuondoa Corona ? Malaria inaongoza kwa kuua watu kuliko Ukimwi mbona hamfungi na kuomba ili malaria iondoke ? Basi tukimaliza Maombi haya tuanze Maombi mengine ya kuondoa Mabusha, Kansa, Kipindu pindu na homa ya Ini. Kweli Biblia inasema watu wanaangamia kwa kukosa Maarifa.
Rais mstaafu J.Kikwete alimuonya kutotegemea Polisi kufanya Siasa maana watanzania wameichoka CCM. Rais Mstaafu B. Mkapa pia alimueleza bwana yule kuwa ktk vitu anavyo jutia ni kutumia vibaya Polisi na kuua raia wasio na hatia huko Zanzibar.
Lakini sikio la kufa halisikii Dawa bwana yule ndo sasa anatumia mabunduki kuvurumisha ktk majumba ya watu wanao mkosoa. Hana kabisa hoja shawishi wala plani kiutawala. Watu kupotea, kutekwa kuteswa na kuuawa vimekithiri.
Yaani mpaka wakenya sasa hivi wanatusaidia ktk mtandao wa twita kumkosoa bwana yule kwa udikteta wake. Wakenya wakisha mnanga bwana yule humalizia na kamsemo kao "Ukaidi wa Jiwe"
Cc. Mataga
lowasa, chenge,Rostam, Tibaijuka hao sio mapapa ya ufisadi?Awamu ya tano inatengeneza uchumi ambao watoto na wajukuu wako watautimia
Tatizo wabongo mnapenda spoon feed
Hata hivyo ukumbukuke madawa ya kulevya hayapo tena mtaani
Mafisadi hayapo Tena Ndio maana unaona pesa haipo mtaani
Ukifanya kazi pesa ipo ila km unakaa kwa dada kula kulala pole
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni waovyo kama Corona!Kimsingi kila mtu hufanya makosa hakuna binadamu mkamilifu. Lakini unapofanya Makosa ambayo wenzio tayari wameyafanya na ungeweza kuyaepuka hapo ndipo tunasema awamu hii imekosa weredi, zaidi sana inatumia nguvu kubwa kuliko Akili.
Wakati Rais Donald Trump akililaumu shirika la Afya Duniani WHO kwamba hawakutoa taarifa sahihi kuhusu Athari za ugonjwa wa Corona na hatimaye kuondoa ufadhili kwa shirika hilo. Rais wa Tanzania yeye anahamasisha watu wafanye mikusanyiko isiyo ya lazima eti wakafanye maombi.
Rais ameshindwa kuchukua hatua stahiki kulinda uhai wa wanachi wake. Wagonjwa wanazidi kuongezeka toka mgonjwa mmoja mpka 148 haoni kwamba Maombi hayasaidii. Viongozi wa Dini wenye Akili wameng'amua kuwa sasa hatuna uongozi wameanza kuchukua hatua kulinda waumini wao kwa kufunga shughuli za lbada.
Hivi unakuwa na Akili zako timamu unaenda kufanya Maombi kuondoa Corona ? Malaria inaongoza kwa kuua watu kuliko Ukimwi mbona hamfungi na kuomba ili malaria iondoke ? Basi tukimaliza Maombi haya tuanze Maombi mengine ya kuondoa Mabusha, Kansa, Kipindu pindu na homa ya Ini. Kweli Biblia inasema watu wanaangamia kwa kukosa Maarifa.
Rais mstaafu J.Kikwete alimuonya kutotegemea Polisi kufanya Siasa maana watanzania wameichoka CCM. Rais Mstaafu B. Mkapa pia alimueleza bwana yule kuwa ktk vitu anavyo jutia ni kutumia vibaya Polisi na kuua raia wasio na hatia huko Zanzibar.
Lakini sikio la kufa halisikii Dawa bwana yule ndo sasa anatumia mabunduki kuvurumisha ktk majumba ya watu wanao mkosoa. Hana kabisa hoja shawishi wala plani kiutawala. Watu kupotea, kutekwa kuteswa na kuuawa vimekithiri.
Yaani mpaka wakenya sasa hivi wanatusaidia ktk mtandao wa twita kumkosoa bwana yule kwa udikteta wake. Wakenya wakisha mnanga bwana yule humalizia na kamsemo kao "Ukaidi wa Jiwe"
Cc. Mataga
Umeamini Sasa mwana lumumba wwe tena uliongoza Sana kuisafisha gold tuliwaambie hii sio gold mlitucheka mmepata mrejesho Sasa naona b7 wanazidi kupungua tuI agree...
ilikua kama Gold ...
Now muda umepita tumejua ni Gold feki..
Bahati mbaya tunalo hili kwa kipindi kingine….