Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,031
- 2,668
Huwezi kufanikiwa kwa kujiona mungu mtu, huyu jamaa huwa hapendi kushauriwaKumbe mnajua kuwa mtaani pesa hamna! Zimehadimika kwasababu hakuna ufisadi na sio kwamba kuna watu wamezificha kwa lengo la kumhujumu Jiwe? Lakini kama hakuna pesa mtaani ubora wa maisha ya raia utatokana na nini wakati hakuna ajira na biashara hailipi kwakuwa wateja hawana pesa za kununua?
Hebu tuambie matokeo ya jitihada zilizofanywa na serikali ya sasa ya kuzuia pesa chafu na ufisadi katika ukuaji wa uchumi wa taifa. Je, sarafu imeimarika kwa sasa ukilinganisha na awamu zilizopita (za kifisadi)?, Je, chumi umeongezeka kwa asilimia ngapi hivi sasa ukilinganisha na awamu zilizopita?
"he considers himself omnicients"
even if he is, he pretend not to believe that he can't omnipotente
Sent using Jamii Forums mobile app