Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,697
- Thread starter
- #101
Eti Rais anachekelea wananchi wake kuwa na maisha magumu huyu si Kichaa huyu ? Kwenye kampeni aliahidi akiwa rais anataka watu waishi kama mashetani. Ndio maana Tetemeko lilipo wakumba Kagera akapora michango ya wananchi. Akapora tena michango ya Wanafunzi waliopata ajali kule Manyara ili atimize ahadi yake kuwa watu waishi kama Mashetani. Halafu akawaambia Mwafaaa. Hili jamaa ni katili bobezi lina roho mbaya sana.2017 tuliambiwa atakae bakia mjini Hadi juni ni mwanaume huu mwaka wa tatu bado tupo Sana mjini wamekimbia wao wametuachia mji tunadunda hatufi kwa Corona Wala kwa kusomeshwa namba.
Sent using Jamii Forums mobile app