Kwa vile umemaliza kuandika kalale.Jitihada zinazofanywa na kamati zilizoundwa pamoja na wakuu wa mkoa ili kuthibiti kusambaa kwa maambukizi ya corona wewe huoni
Endelea kulaumu wanaume wako kazini
Nijifungie kibandani itasaidia nini wakati wajinga kama wew mnazurula huko mitaani na kutuletea corona mtaani kwetu ?Sasa si wewe siyo mjinga? si ujifungie kwenye kibanda cha baba yako kwani umekatazwa?
Tuombe isifike huko aiseeKwa vile umemaliza kuandika kalale.
Ingeundwa kamati ya wataalam ili kukabiliana kikamilifu na kusambaa kwa corona virus. Wakuu wa mikoa kimsingi ni wawakilishi wa m/kiti wa chama tawala wa mkoa husika. Wana utalamu gani hawa?
Huzioni jitihada za Mseveni, Kenyata, na Kagame? Mapambano dhidi ya corona virus ni vita ingawa adui haonekani.
Rais ndiye Jemadari mkuu; anabakije nyuma? Amewatanguliza ummy mwalimu, makonda, na PM.
Tuendelee kuomba kila mtu kwa imani yake wakati kasi ya ongezeko la maambukizi ina sura ya "arithmatic progression". Pamoja na dua na sala kwa siku 3, wiki ijayo siku kama ya leo idadi ya wagonjwa wa covid 19 itakuwa imepindukia 500. Watu wajinga watadai nashabikia!
Ya hovyo sanaKimsingi kila mtu hufanya makosa hakuna binadamu mkamilifu. Lakini unapofanya Makosa ambayo wenzio tayari wameyafanya na ungeweza kuyaepuka hapo ndipo tunasema awamu hii imekosa weredi, zaidi sana inatumia nguvu kubwa kuliko Akili.
Wakati Rais Donald Trump akililaumu shirika la Afya Duniani WHO kwamba hawakutoa taarifa sahihi kuhusu Athari za ugonjwa wa Corona na hatimaye kuondoa ufadhili kwa shirika hilo. Rais wa Tanzania yeye anahamasisha watu wafanye mikusanyiko isiyo ya lazima eti wakafanye maombi.
Rais ameshindwa kuchukua hatua stahiki kulinda uhai wa wanachi wake. Wagonjwa wanazidi kuongezeka toka mgonjwa mmoja mpka 148 haoni kwamba Maombi hayasaidii. Viongozi wa Dini wenye Akili wameng'amua kuwa sasa hatuna uongozi wameanza kuchukua hatua kulinda waumini wao kwa kufunga shughuli za lbada.
Hivi unakuwa na Akili zako timamu unaenda kufanya Maombi kuondoa Corona ? Malaria inaongoza kwa kuua watu kuliko Ukimwi mbona hamfungi na kuomba ili malaria iondoke ? Basi tukimaliza Maombi haya tuanze Maombi mengine ya kuondoa Mabusha, Kansa, Kipindu pindu na homa ya Ini. Kweli Biblia inasema watu wanaangamia kwa kukosa Maarifa.
Rais mstaafu J.Kikwete alimuonya kutotegemea Polisi kufanya Siasa maana watanzania wameichoka CCM. Rais Mstaafu B. Mkapa pia alimueleza bwana yule kuwa ktk vitu anavyo jutia ni kutumia vibaya Polisi na kuua raia wasio na hatia huko Zanzibar.
Lakini sikio la kufa halisikii Dawa bwana yule ndo sasa anatumia mabunduki kuvurumisha ktk majumba ya watu wanao mkosoa. Hana kabisa hoja shawishi wala plani kiutawala. Watu kupotea, kutekwa kuteswa na kuuawa vimekithiri.
Yaani mpaka wakenya sasa hivi wanatusaidia ktk mtandao wa twita kumkosoa bwana yule kwa udikteta wake. Wakenya wakisha mnanga bwana yule humalizia na kamsemo kao "Ukaidi wa Jiwe"
Cc. Mataga
Eti bora kuwa mbwa ulaya kuliko kuwa mtu afrika...hahahaCOVID-19 imetufanya tujue viongozi wengi Africa ni vichwa maji yaaaani hazimo kichwani hata zile za kuvukia barabarani hazimo kabisa
Hakika nasikitika sana kuwa muAfrica sijui kwa nini babu yangu hakuchukuliwa enzi zile kuwa mtumwa ulaya afadhali angeanzisha ukoo huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale njaa tu hata ungekuwa wewe.Cha ajabu utakuta li tbccm limeweka kipindi maalumu cha kusifu na kuabudu upuuzi wa awamu hii.
Wanahitaji msaadaWale njaa tu hata ungekuwa wewe.
Mloganzila imefurika wagonjwa wengiKwa vile umemaliza kuandika kalale.
Ingeundwa kamati ya wataalam ili kukabiliana kikamilifu na kusambaa kwa corona virus. Wakuu wa mikoa kimsingi ni wawakilishi wa m/kiti wa chama tawala wa mkoa husika. Wana utalamu gani hawa?
Huzioni jitihada za Mseveni, Kenyata, na Kagame? Mapambano dhidi ya corona virus ni vita ingawa adui haonekani.
Rais ndiye Jemadari mkuu; anabakije nyuma? Amewatanguliza ummy mwalimu, makonda, na PM.
Tuendelee kuomba kila mtu kwa imani yake wakati kasi ya ongezeko la maambukizi ina sura ya "arithmatic progression". Pamoja na dua na sala kwa siku 3, wiki ijayo siku kama ya leo idadi ya wagonjwa wa covid 19 itakuwa imepindukia 500. Watu wajinga watadai nashabikia!
Huyu ni janga lingine la taifa. Tutakapozinduka usingizini tayari tutakuwa tumeshaangamia.Namtafakari Magufuli sipati majibu..
Yani simuelewi kabisaa
Kaa ndani uwe unachungulia dirishani tu!Nijifungie kibandani itasaidia nini wakati wajinga kama wew mnazurula huko mitaani na kutuletea corona mtaani kwetu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti bora kuwa mbwa ulaya kuliko kuwa mtu afrika...hahaha
Hakika nakuunga mkonoAwamu ya tano inatengeneza uchumi ambao watoto na wajukuu wako watautimia
Tatizo wabongo mnapenda spoon feed
Hata hivyo ukumbukuke madawa ya kulevya hayapo tena mtaani
Mafisadi hayapo Tena Ndio maana unaona pesa haipo mtaani
Ukifanya kazi pesa ipo ila km unakaa kwa dada kula kulala pole
Sent using Jamii Forums mobile app