Awamu ya tano ndiyo ya hovyo kuliko awamu zote

 
uchumi gani huo unatengenezwa?

kwa vile mmekuwa wanufaika wa ile 1.5tr yetu wakolomije wameikwiba basi mnaona maisha mmeyaweza...

kijana, anza sasa kutafuta namna ya kukimbilia Comoro kabla ya October, ama vipi utajikuta unalazimika kupiga mbizi!
 
Eti jamaa alikuwa anafundisha watoto wetu Kama mwalimu,si umemuona Kangi? Eti Ni mwanafunzi wake
 
Hivi wanao like comments na post zako huwa wanakucheka au wako serious? Hii ni awamu ya hapa kazi tu,tuliaminishwa 2015 kwamba kwa hapa kazi tu na rais mchapakazi maisha yatakuwa super,miaka mitano ya hapa kazi corona hiyooo,mlivyoambiwa lockdown mkasema watanzania ni wabangaizaji watakufa njaa,sasa hiyo hapa kazi tu kwa miaka mitano ilikuwa hapa kazi tu for nothing kiasi kwamba msipotoka ndani only for two or three weeks mnakufa? Au hiyo kazi mnayosema ni kazi ya aina gani?
 
Duh! Hii nchi tunawatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnadanganya idadi ya vifo na wagonjwa, huku mnafanya maombi!
• Mnaacha Baa zote nchini wazi, watu wanalewa na kuzini usiku kucha, huku mnaendelea kufanya maombi!
Watanzania wenzangu, tuambizane ukweli, hakuna Mungu atakayepokea maombi yetu, labda Mungu wa Chato
 
Mkuu kubobea ndo nini? Kuwa na cheti cha PhD au kupractice? Kumbuka huyu katokea kwenye kula mavumbi ya chaki tena siyo jalalani bali huko ikunguliabashashi
 
Unaamini yule jamaa ni mwanasayansi ?
 
Amezoea tambo za vijiwe vya kahawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…