Sumti
JF-Expert Member
- Jan 30, 2016
- 2,342
- 2,193
Mkuu zingatia hapo wanaposema kuwa NI IMANI YETU HALI ITAENDELEA KUIMARIKA na sio HALI IMEIMARIKA. Wajinga ni sisi tuliwaoMmnetangaza wenyewe kuwa mmehitimisha ukarabati wa miundo mbinu ili umeme upatikane vizuri. Tunataka tusisikie habari ya mgao na umeme kukatika katika hovyo imeisha kama enzi za awamu ya tano.
View attachment 2115389