Awamu za mwisho za SGR ya Tanzania kujengwa na wataalamu wa Kitanzania.

Tanzania never fails to disappoint, yani unaweza bet they will complete a project kumbe haitaeezekana na tayari ushaweka dau, inakunywa maji hivo tu.
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡GDPπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†


 
Hivi phase 3 kwani wamepewa waturuki?
 
SGR TZ ikikwama tutawakimbilia Wakenya huku tumejiami na maneno Kama Kibela, Tulkana, Failed State, na njaa ili tujifariji mapungufu yetu.
 
SGR TZ ikikwama tutawakimbilia Wakenya huku tumejiami na maneno Kama Kibela, Tulkana, Failed State, na njaa ili tujifariji mapungufu yetu.
Modern electric bullet train in africa inakuumiza sana kichwa yani inakupasua ubongoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Relax budaa
 
Kuna mtu amehepa Uzi wa battle baada ya kichapo toka kwa Kenya, Sasa amekimbia huku baada ya kufikia SGR yao haifiki Morogoro na ikifika baas! Hamna zaidi ya happy. Burret train hoyeeeeee!
 
Wahurumieni hao majirani wanafikiri TZ hii ni ile.Hapa watu wanapiga kazim kwenda mbele.
 
Too theoretical
 
Awamu ya Nyerere tulidhani tukijenga viwanda vingi ndiyo basi tumemaliza. Afadhali awamu hii hatujengi sisi viwanda tunawawachia waeekezaji wa nje na ndani wajenge viwanda vyao.

Tuliachiwa reli ya Mjerumani, Waingereza waliikuta wakaiendesha kwa miaka 50 kwa faida, tulivyoichukuwa sisi kuiedesha ipo hoi bin taabani. Hivyohivyo kwa tazara.

Tusifanye makosa ya kijinga. Hii tuwawachie wamalize waturuki. Sisi tufanye trunks za kuunganisha hapo. Ili tuone tunaweza au bado.

Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
 
Waambie hao waturuki wamalizie kwa pesa yao, au sisi hatuwezi kujenga lakini kutafuta pesa ya kuwalipa iwe tunaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…