Awamu za mwisho za SGR ya Tanzania kujengwa na wataalamu wa Kitanzania.

Awamu za mwisho za SGR ya Tanzania kujengwa na wataalamu wa Kitanzania.

Tanzania never fails to disappoint, yani unaweza bet they will complete a project kumbe haitaeezekana na tayari ushaweka dau, inakunywa maji hivo tu.
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡GDPπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

CC0A91EB-87EE-4855-919B-72A30FBF1AB2.jpeg
ED22129E-4E08-4AAB-8A34-D4839780F2B2.jpeg
 
Kuna uwezekano mkubwa sana kwamba, phases 4&5 zikajengwa na wataalamu wa kitanzania baada ya waturuki kujenga awamu tatu za kwanza. Hii inajionyeshwa wazi kutokana na kwamba 95% ya wafanyakazi sasa hivi ni watanzania, pia hili jambo alilisema waziri wa miundombinu wa Tanzania, na hapa mkurugenzi wa TRC pia analisema, hii itasaidia pia kuwasaidia majirani zentu kujenga reli zao kwa bei nafuu baadala ya kutafuta wakandarasi kutoka China.

Hivi phase 3 kwani wamepewa waturuki?
 
SGR TZ ikikwama tutawakimbilia Wakenya huku tumejiami na maneno Kama Kibela, Tulkana, Failed State, na njaa ili tujifariji mapungufu yetu.
 
SGR TZ ikikwama tutawakimbilia Wakenya huku tumejiami na maneno Kama Kibela, Tulkana, Failed State, na njaa ili tujifariji mapungufu yetu.
Modern electric bullet train in africa inakuumiza sana kichwa yani inakupasua ubongoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Relax budaa
 
Kuna mtu amehepa Uzi wa battle baada ya kichapo toka kwa Kenya, Sasa amekimbia huku baada ya kufikia SGR yao haifiki Morogoro na ikifika baas! Hamna zaidi ya happy. Burret train hoyeeeeee!
 
Hahahahaha, Ninakumbuka hata waturuki walipoanza kujifunza ujenzi wa reli kutoka kwa waliokua wanawajengea, walidharauliwa na kuambiwa hawawezi, Leo hii wanapambana na hao waliowadharau, kila kitu ni kujifunza, mbona kampuni linalojenga super high way toka Dar hadi Kibaha, 12 lanes na flyovers zote ni watanzania, wakati wenzetu wakenya walijengewa na wageni?, kila kitu ni kujifunza na kupata vifaa vya kisasa, bahati nzuri kiwanda cha mataruma ya zege wameshatujengea. Muhimu ni kujiamini na kuwa na ujasiri, Yes we can"
Too theoretical
 
Awamu ya Nyerere tulidhani tukijenga viwanda vingi ndiyo basi tumemaliza. Afadhali awamu hii hatujengi sisi viwanda tunawawachia waeekezaji wa nje na ndani wajenge viwanda vyao.

Tuliachiwa reli ya Mjerumani, Waingereza waliikuta wakaiendesha kwa miaka 50 kwa faida, tulivyoichukuwa sisi kuiedesha ipo hoi bin taabani. Hivyohivyo kwa tazara.

Tusifanye makosa ya kijinga. Hii tuwawachie wamalize waturuki. Sisi tufanye trunks za kuunganisha hapo. Ili tuone tunaweza au bado.

Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
 
Waambie hao waturuki wamalizie kwa pesa yao, au sisi hatuwezi kujenga lakini kutafuta pesa ya kuwalipa iwe tunaweza.
 
Back
Top Bottom