Hahahahaha, Ninakumbuka hata waturuki walipoanza kujifunza ujenzi wa reli kutoka kwa waliokua wanawajengea, walidharauliwa na kuambiwa hawawezi, Leo hii wanapambana na hao waliowadharau, kila kitu ni kujifunza, mbona kampuni linalojenga super high way toka Dar hadi Kibaha, 12 lanes na flyovers zote ni watanzania, wakati wenzetu wakenya walijengewa na wageni?, kila kitu ni kujifunza na kupata vifaa vya kisasa, bahati nzuri kiwanda cha mataruma ya zege wameshatujengea. Muhimu ni kujiamini na kuwa na ujasiri, Yes we can"