Awauzia wakazi wa Dar es salaam mishikaki ya nyama ya Mbwa kwa zaidi ya miaka 10. Adai wanaipenda, ni tamu

Awauzia wakazi wa Dar es salaam mishikaki ya nyama ya Mbwa kwa zaidi ya miaka 10. Adai wanaipenda, ni tamu

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mzee mmoja ambaye jina lake linahifadhiswa, amekutwa akitengeneza mishkaki kwa kutumia nyama ya Mbwa na kusema biashara hiyo aliianza tangu mwaka 2010 akiwa katika stendi ya Ubungo na sasa alikuwa stendi ya mbezi (Kituo cha Mabasi Mbezi, Magufuli).

2CB710EE-31A7-45A7-9009-D96B80647624.jpeg


Chanzo : Channel Ten
 
Kwani tatizo la Nyama ya Mbwa ni nini? Maana huko Korea Kusini inauzwa kama nyama nyingine mabuchani!!

18535421_605.jpg

Tayari sokoni!!

photo2jpg.jpg

Nyama ya Mbwa ikiwa kwenye "Shelves" za Supamaketi moja huko Korea Kusini

_104449767_dogmentsouthkoreagetty.jpg

Nyama ya Mbwa tayari kwa kuliwa huko Korea ya Kusini.

Wale waigizaji wenu wa Korea ya Kusini mnaowapenda sana wengine wao wanakula kitu cha Mbweko!!
 
Kuna uwezekano watu wengi sana wamekula popi bila kujua aisee.
 
Back
Top Bottom