Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
eenah!!Ilibwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Tulisaage mbetuli Mwagito [emoji16]Nasubir comment za wahehe ,
Popi mbona sawa tu, tatizo mapokeo.Kuna uwezekano watu wengi sana wamekula popi bila kujua aisee.
Kila eneo na tamaduni zake mkuu hapa kwetu hiyo kitu ni taboo kula nyama yake.Popi mbona sawa tu, tatizo mapokeo.
Kuna maeneo mpaka leo watu wanakula Kima au Nyani kila siku na hakuna makelele!!
Kwa baadhi wanakula kimya kimya na inaeleweka!! Achana na hao wanaowauzia wengine!!Kila eneo na tamaduni zake mkuu hapa kwetu hiyo kitu ni taboo kula nyama yake.