Aweso amuumbua Eng. Hersi mbele ya Rais Samia kwa kudai huwa anaenda Pangani Kuroga mechi za Watani wa Jadi (Simba na Yanga)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amuumbua Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said kwa kudai kuwa huwa anaenda kuroga mechi ya Watani wa Jadi (Simba na Yanga) ili washinde

"Pangani ilikuwa kama Kisiwa, ili mtu aje Pangani lazima aje kwa makusudio maalum, aje kuzika, amesikia labda kuna mganga mzuri wa mechi za Simba na Yanga kama Eng. Hersi anavyozurura hapa katika Kijiji cha Machadu katika mechi za Simba na Yanga"

Your browser is not able to display this video.
 
Hi jamii ya kitanzania bado sana kama watu wenye elite class bado wanaimani na ushirikina kwa vitu ambavyo ni sayansi kama mpira sasa unategemea nini kwa wale walio vijijini akili zao zitakua je?
 
Utani unaruhusiwa kdg

Ila kiuhalisia HAKUNAGA UCHAWI

MIAKA 50 IJAYO KILA ALIYE HAI SASA ATAUJUA UKWELI KWAMBA KUMBE NI VINGI TULIPOTOSHWA
 
Sasa hapo kamuumbua nini sasa wakati ameleta utani tu
 
Niliwahi kusoma andiko la Mshana Jr alikuwa anaelezea uchawi wa mgosi kwediboma , huko Tanga. Mshana jr alikuwa anasema vijiji vya Tanga vina balaa kwa uchawi.
 
Wote wanaloga hakuna wa kumnyooshea mwenzie kidole Hawa wanaloga washinde mechi za mpira wa miguu, wengine wanaloga ili waendelee kuwa wanasiasa
 
Katika Nchi hii kuna timu moja tu ambayo ime bobea katika ulozi.
Caf wamesha iadhibu kwa ushirikina , Tff wanaidhibu kila Mwaka kwa vitendo vya ushirikina.
 
Kwa hiyo ni Simba mnafungwa kwa uchawi, hujuma za marefa au hongo ya GSM?
Chagueni moja!
Zote hizo ni sababu inategemea na mechi, sababu haiwezi kuwa moja kwa mechi zote, tukutane tarehe nane
 
wenye macho na akili huwa tunaona kolo anavyopigwa huku pira kubwa llikiwa linapigwa na vijana wa Hersi,huyu fala atawaaminisha hayo kwa washirikina wenzie ila sio sisi watu wa mpira
 
Waziri hawezi kumdanganya Rais tena mbele ya hadhira kama hivyo.

Mlipo Tupo!
Waziri wa serikali anaongelea uchawi mbele ya rais! Aiseee sasa sisi ambao hatuna shule wala expozha tutawaza nini😆
 
Ashughulikie matatizo ya maji nchini shida ni kubwa mno aache mipasho ya kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…