saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
- Thread starter
- #21
Lucas mwashambwaNani kasema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lucas mwashambwaNani kasema?
Ila kuwa chawa si kazi ndogoWAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso kijana wa watu asiye na mbeleko anahangaika kwa usafiri wa bodaboda ili mradi afike ajionee mwenyewe changamoto za maji zinazowakabili wananchi.
Wengine watoto wa wakubwa wanatumia Helkopta kukagua vyanzo vya maji vilivyokauka kwa ukame na kusababisha mgao wa umeme na kukagua anuani za makazi.
Mungu awe nawe Jumaa Aweso katika kutekeleza majukumu yako japo sehemu kubwa mgao wa maji unaolaumiwa wewe ni kutokana na mwenzako kukata umeme na kusababisha mitambo ya maji ishindwe kufanya kazi. Lakini Mungu yuko nawe na watanzania tuko nawe
View attachment 2468800
View attachment 2468823
View attachment 2468824
Utakuwa mgeni na haya mambo.Kuna nazo lazima awe nazo si anafanya kazi halali ya Ubunge, Uwaziri na analipwa mshahara na stahili zake halali kwa mujibu wa sheria
Daah. kumbe mtoto wa mama ntilie ndio maana ana adabu anajua alikotoka anaheshimu watu wotehahaha. eti anajifanya mlalahoi unaijua historia ya Aweso wewe? soma hapa
MTOTO WA MAMA NTILIE JUMAA AWESO ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI WA NDANI CCM PANGANI
August 3, 2015, 1:45 am
Mtoto wa mama ntilie mwenye uzao halisi kutoka wilayani Pangani mkoani Tanga, Ndugu Jumaa Aweso ameibuka na ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa ndani wa chama cha mapinduzi CCM.
Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo katibu wa CCM wilayani Pangani Bi Zaina Mlawa amesema kuwa, katika uchaguzi huo uliowashirikisha wagombea wapatao kumi na moja, Ndugu Aweso amekuwa wa kwanza miongoni mwa wagombea hao.
Uchaguzi huo uliokuwa na ushindani wa aina yake kutokana na kuwepo kwa aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Ndugu Salehe Pamba, uliwashirikisha wapiga kura wapatao 10376 wa chama cha mapinduzi.
Awali wakati akitangaza matokeo ya uchaguzi huo, Bi Zania aliwataja wagombea hao kwa idadi ya kura walizopata na kusema kuwa "Ndugu Wahi Ibrahim amepata kura 87, ndugu Rosemary Luanda amepata kura 89, ndugu Elizabeth Alatanga amepataa kura 158, Halima Kimbau amepata kura 222, Ndugu Mohammed Rished amepata kura 442, Ndugu Ayubu Mswahili amepata kura 565"
Bi Zania ameongeza kwa kusema kuwa "Ndugu Omary Mwidadi amepata kura 587, ndugu Omary Chambega amepata kura 720, ndugu Salehe Pamba amepata kura 1567, ndugu Abdurahmani magati amepata 1956, na ndugu Jumaa Aweso 3983"
Ushindi huo kwa ndugu Jumaa Aweso unampa nafasi ya kuwa mgombea wa katika kuipeperusha bendera ya chama cha mapinduzi CCM wilayani Pangani endapo kamati kuu ya maamuzi itaridhia.
Mpaka sasa katika jimbo la Pangani kumepatikana wagombea wawili ambao wanaonekana kupendwa sana na wanancho ambao ni Amina Mwidau wa CUF pamoja na Jumaa Aweso wa CCM ambapo kwa mujibu wa wachambuzi wa masuala ya siasa, endapo watakutana katika nafasi ya ubunge upinzani utakuwa wa aina yake.
Unajua nini namaanishaChawa wa nani?
Huyu akija na sababu za ukosefu wa maji zinakuwa na reliable .Hata akisema mgao wa umeme sababu ni ukame watu hawatabisha.WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso kijana wa watu asiye na mbeleko anahangaika kwa usafiri wa bodaboda ili mradi afike ajionee mwenyewe changamoto za maji zinazowakabili wananchi.
Wengine watoto wa wakubwa wanatumia Helkopta kukagua vyanzo vya maji vilivyokauka kwa ukame na kusababisha mgao wa umeme na kukagua anuani za makazi.
Mungu awe nawe Jumaa Aweso katika kutekeleza majukumu yako japo sehemu kubwa mgao wa maji unaolaumiwa wewe ni kutokana na mwenzako kukata umeme na kusababisha mitambo ya maji ishindwe kufanya kazi. Lakini Mungu yuko nawe na watanzania tuko nawe
View attachment 2468800
View attachment 2468823
View attachment 2468824
AwesoChawa wa nani?
Msipopenda kuusikia ukweli mtapotea kisiasa.Yaani nyie bila kumponda January na Nape hamuwezi? Najua January na Nape sio kwamba hamuwapendi kwa utendaji mbovu, Ila kwa kuwa wameonesha wazi kuwa "shujaa" wenu alikuwa fala tu, boya aliyejiona kafika hajui kiswahili Wala kiingereza.
Kwa hiyo kinachokuuma ni wao kupanda Helkopta? Wasingepanda hiyo Helkopta ungepata unafuu wa maisha?Si ndio angekutumia Helkopa sasa?
Ni rahisi kucheza na akili ya watanzania. Wanapima utendakazi wa mtu kwa kula kwa mama lishe, kupanda daladala, kula mahindi ya kuchoma barabarani, kunywa kahawa na raia. Yaani, watanzania tuna shida kweliMmoja anajifanya mlalahoi wakati kashakuwa njema.