Mitz ndivyo tulivyo.Ni rahisi kucheza na akili ya watanzania. Wanapima utendakazi wa mtu kwa kula kwa mama lishe, kupanda daladala, kula mahindi ya kuchoma barabarani, kunywa kahawa na raia. Yaani, watanzania tuna shida kweli
Angekuwa serious tusingekuwa tunakosa maji ya mgawo Jijini kisa presha down na wanaofungua wanafanya watakavyo.Aweso ni Waziri anayependa kufanya kazi kwa matokeo na anaridhika na dhamana aliyopewa na Mh Rais, ndio maana hukumuona akihangaika na vyeo ya NEC CCM kwa sababu anajiamini kiutendaji hataki kubebwa na mwavuli wa Chama.
Umegundua eee. Watu hatuna Maji DSM hii HiiAnafanya maigizo baada ya kuona Mama anapanga upya serikali yake ili akumbukwe. Saivi wengi wanafanyq vituko na kushinda kwa waganga ili wakumbukwe wasiachwe kwenye uwaziri
Ni ujinga tu
Alafu hawajui kuwa ni raisi wao ajae.Yaani nyie bila kumponda January na Nape hamuwezi? Najua January na Nape sio kwamba hamuwapendi kwa utendaji mbovu, Ila kwa kuwa wameonesha wazi kuwa "shujaa" wenu alikuwa fala tu, boya aliyejiona kafika hajui kiswahili Wala kiingereza.
Yeah, hizo ni show off tu za kuzuga watu hamna jipya hapo.Angekuwa serious tusingekuwa tunakosa maji ya mgawo Jijini kisa presha down na wanaofungua wanafanya watakavyo.
Taarifa zimejaa jukwaa la Dawasa
Ni kijana mchapakazi ila chama alichomo ndiyo tatizo.Aweso ni Waziri anayependa kufanya kazi kwa matokeo na anaridhika na dhamana aliyopewa na Mh Rais, ndio maana hukumuona akihangaika na vyeo ya NEC CCM kwa sababu anajiamini kiutendaji hataki kubebwa na mwavuli wa Chama.