Aweso: Mama ni noma, vyama rafiki wasiseme wameibiwa kura 2025

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Waziri Juma Aweso amesema wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani. Aweso amesema watu wanasema mama anaupiga mwingi lakini yeye anasema mama ni Noma na anawatahadharisha vyama rafiki(Upinzani) wasije wakasema wameibiwa kura 2025 kwani watanzania hawatamuacha.

Amewataka wababa wakae kwa kutulia na wampe ushirikiano mama.
 
Kwa mambo yanavyokwenda Kuna Kila dalili akajasema staki tena.
 
chadema nimeitoa mbali sana
FUU8eK4XEAA301s.jpeg
 
Aweso nae afanye kazi yake Sasa.

Dar tu imemshinda kupa maji, maeneo mengi sana hayana maji.

Kazi ya Uchawa awaachie wapanbe yeye ni mtendaji.
 
Back
Top Bottom